Waamuzi waliochezesha mchezo wa Simba vs KMC afungiwa na TFF

Waamuzi waliochezesha mchezo wa Simba vs KMC afungiwa na TFF

Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu

Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba

TFFimetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3

View attachment 1081726
Kuna usanii mkubwa. Ukweli wenyewe hawafungiwa bali wameondolewa kwenye orodha msimu huu.
Lengo lao limetimia na kazi waliyotumwa imekamilika.
Msomali anaua soka letu.
 
FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
Bado ni 'fake'? Msimu huu mtawaponza waamuzi wengi sana! Wapeni hela ndefu basi
 
TASAF Fc watakuwa wamesikia amani sasa.

Nadhani hujui madhumuni ya TASAF...Una dharau kubwa dhidi ya wote ambao husaidiwa na TASAF...unaweza ukadhani unaidharau Yanga lakini kumbuka comment yako ina mwelekeo wa kisiasa...Tukijakwenye hoja yako ya msingi kuhusu marefa ni maoni yangu kuwa TFF wamechelewa mno kuliona hili...michezo mingi ya Simba amependelewa sana ukiacha ukweli kuwa hata kubakiwa na mechi nyingi za kucheza pia ni msaada au upendeleo kwa Simba...TFF sasa wanaona aibu lakini wamechelewa mno (kwa makusudi bila shaka) kuchukua hatua...Hata mechi ya Simba na Yanga ile ya pili yule Tshabalala ilikuwa apewe redcard mapema...
 
Hii inchi hii sasa iyo kamati imekaa saa ngapi
 
Kwani yule mchezaji hakushika? Na kwa nini azam hawana slow motion??
tatizo si azam kuwa na slow motion ni tatizo la TFF kutokuwa na kamera zao uwanjani yani wakinyimwa video na azam wanalia ka watoto maana ushahidi hawajui kwakuupatia wanakazi kweli kweli
 
nikohapa naangalia ushahidi ambao TFF watatumia na walotumia kuwapiga nyundo marefa wote watatu na ni kosa gani wanalohukumiwa nalo. navuta pumzi kuwaangalia tuu
 
Nadhani hujui madhumuni ya TASAF...Una dharau kubwa dhidi ya wote ambao husaidiwa na TASAF...unaweza ukadhani unaidharau Yanga lakini kumbuka comment yako ina mwelekeo wa kisiasa...Tukijakwenye hoja yako ya msingi kuhusu marefa ni maoni yangu kuwa TFF wamechelewa mno kuliona hili...michezo mingi ya Simba amependelewa sana ukiacha ukweli kuwa hata kubakiwa na mechi nyingi za kucheza pia ni msaada au upendeleo kwa Simba...TFF sasa wanaona aibu lakini wamechelewa mno (kwa makusudi bila shaka) kuchukua hatua...Hata mechi ya Simba na Yanga ile ya pili yule Tshabalala ilikuwa apewe redcard mapema...
Kumbe Yanga wanaitwa TASAF?
 
Walee marefaa walionesha upuuzi waziwazi wa kuibeba simba, siku walikuwa wamebet?

Ujinga mtupu futeni hata hizo point, ni ujinga mtupu
 
Safi sana na iwe fundisho wa marefa wengine mambumbumbu kama hao
 
FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
Vipi kiongozi bado ni fake newz?!
 
Watu wanakataa ukweli.
Penati 2 za simba ni penati halali ukiziangalia, na okwi hakushika mpira bali mpira ulimgonga kiunoni.
Vipi na ile ya beki kurudisha mpira nyuma adui kainasa nayo ni offside halali?!
 
Back
Top Bottom