Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Na wew pia hujui kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna usanii mkubwa. Ukweli wenyewe hawafungiwa bali wameondolewa kwenye orodha msimu huu.Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi akituhumiwa kuipendelea Simba
TFFimetoa taarifa ya kuwafungia waamuzi wote 3
View attachment 1081726
Bado ni 'fake'? Msimu huu mtawaponza waamuzi wengi sana! Wapeni hela ndefu basiFAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
TASAF Fc watakuwa wamesikia amani sasa.
tatizo si azam kuwa na slow motion ni tatizo la TFF kutokuwa na kamera zao uwanjani yani wakinyimwa video na azam wanalia ka watoto maana ushahidi hawajui kwakuupatia wanakazi kweli kweliKwani yule mchezaji hakushika? Na kwa nini azam hawana slow motion??
Kumbe Yanga wanaitwa TASAF?Nadhani hujui madhumuni ya TASAF...Una dharau kubwa dhidi ya wote ambao husaidiwa na TASAF...unaweza ukadhani unaidharau Yanga lakini kumbuka comment yako ina mwelekeo wa kisiasa...Tukijakwenye hoja yako ya msingi kuhusu marefa ni maoni yangu kuwa TFF wamechelewa mno kuliona hili...michezo mingi ya Simba amependelewa sana ukiacha ukweli kuwa hata kubakiwa na mechi nyingi za kucheza pia ni msaada au upendeleo kwa Simba...TFF sasa wanaona aibu lakini wamechelewa mno (kwa makusudi bila shaka) kuchukua hatua...Hata mechi ya Simba na Yanga ile ya pili yule Tshabalala ilikuwa apewe redcard mapema...
we unaujua usimba wangu au umekariri
Vipi kiongozi bado ni fake newz?!FAKE NEWS!
aliyeyengeneza hii taarifa kachemka, marefa wanaoboronga hujadiliwa kwa pamoja na sio ghafla kiasi hiki tena marefa waechi moja tu kana kwamba kuna dharura. Yanga tulieni dawa ipenye.
Vipi na ile ya beki kurudisha mpira nyuma adui kainasa nayo ni offside halali?!Watu wanakataa ukweli.
Penati 2 za simba ni penati halali ukiziangalia, na okwi hakushika mpira bali mpira ulimgonga kiunoni.
kama wewe ndio unaanzisha uzi halafu hutaki uchangiwe uweke kwenye makalio yakoKwani wewe ndiyo mwanzisha Uzi huu,
au unawashwawashwa.