Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Waandamanaji kulipwa ili waandamane haliwi kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo, kuandamana sio kosa Tanzania.

Niki kulipa ili uandamane sio kosa kwasababu maandamano ni halali kisheria,

Huu uzushi waliokuja nao kuwa waandamanaji wamelipwa ni sawa na kusema watu wamelipwa ili kuoga, kuoga na kuandamana sio kosa kisheria na mtu akilipwa ili aoge sio kosa na wala hukumu yake sio kifo.
 
Wale walichoma vituo vya kulinda usalama wa raia 159 ina maana wale ni mmagaidi walistahili KIFO TU Tena hawajaguswa kabisa yaani nasikitika sana ni wachche mno naomba mungu sana awape roho ya ujasiri polisi wawatandike waliopolea uraiani angalau kama elfu 5 kwa kuanzia huku phase 2 ikiwatafuta kama elfu 20 hivi
 
Huna akili kabisa nimekujibu tu basi hustahili kujibiwa.

wamechoma kwasababu police wanashtuma za utekaji na mauwaji kabla hata ya maandamano
 
Kuna kitu nawaza sana juu ya akili ya udhibiti wa hawa wanausalama wetu

Hebu tuseme D9 vijana wametoka wakaandama wao wanausalama wakaitumia aina ileile ya udhibiti

Vijana wakaona hii ishakuwa ishu kwanini sisi tunapotezwa wakati maanko na mafaza wako kwa home wamekumbatia usingizi wao

Wakaamuua kuwaswaga mitaani watu kwa lazima watoke kwa vitisho vya usalama wa familia zao

Ndio nawaza hivi kwa akili ya askari Polisi isiyo na utashi zaidi ya kupokea maagizo si watasababisha mayatima wengi.!?

Maana hawa jamaa zidhani kama wana akili binafsi
 
Huna akili kabisa nimekujibu tu basi hustahili kujibiwa.

wamechoma kwasababu police wanashtuma za utekaji na mauwaji kabla hata ya maandamano
ambulance 200 zimewakosea nini? magari binafsi 1600 yamewakosea nini? vituo 600 vys mafuta vimekosea nini ? mbwa kabisa wale sijui kwa nini waliwapiga wachache vile
 
Wanao iba rasilimali za nchi madini, wanyama na mabillion ya pesa, wanaiba uchaguzi hawa unalipi la kuwaambia maana ndio chanzo

hawa wanaiba mara mia na kuharibu maradufu nchi hawa unalipi la kuwaambia au ni wazuri ?
 
Wanao iba rasilimali za nchi madini, wanyama na mabillion ya pesa, wanaiba uchaguzi hawa unalipi la kuwaambia maana ndio chanzo
huo ndo upumbavu mnaolishwa, hizo kesi ni kweli kabisa kuna ubadhirifu lakini ule usenge sio suluhu, Netanyau ana kesi ya rushwa , Israeli walichoma nchi? Sarkozy aliiba B 60 na rushwa kibao wafaransa walichoma nyumba zao? marekani ulisikia USAID waliiba zaidi ta trilioni 200 za kitanzania umesikia wamerani wamechoma nchi yao? Marekani ina homeless milioni 98 bado inadonate hela Ukraine , Israel umesikia wakichoma nchi yao? sisi wapumbavu daraja A ndo tunajiletea usenge wenyewe , YAANI NINGEKUWA RAIS nadhani sasahivi wangekuwa watu laki 2 wameshakula risasi , Watu milioni 65,750,000- 200,000 = 67,550,000 pure clean citizents remain

MBWA WAKUBWA WALIONZISHA VURUGU 29TH OCTOBER
 
Upo sahihi Article 20 (i) ya CURT (Katiba ya jamhuri) imetoa provision ya haki ya kukusanyika, kuandamana kwa amani. Hivyo haki hii imetolewa freely bila pre condition yoyote.

Police wao wanatumia sheria ya polisi na polisi jamii (Police force & Auxiliary services Act) ili kuzuia maandamano kwa kifungu kinachotaka kutoa notice (taarifa) masaa 48 kabla ya maandamano; unfortunately, kifungu hiko kinatumika vibaya badala ya notice inakuwa kama kuomba kibali kitu ambacho ni kinyume na katiba, kwani haki yotote ya kikatiba haiwezi kutolewa kibali kwa sheria yoyote ya chini kwa katiba ni sheria mama.
Aidha, kwa tafsiri ya katiba na sheria mbalimbali duniani hasa common laws (Comperative constitution law), imetoa tafsiri kuwa notice sio permit, yaani taarifa sio kibali.

Na hiii ni kinyume na Article 64 ya Katiba, (supremacy of the constitution),

Mwisho; Maandamano sio kosa ni haki.
 
Hakuna zahanati kanisa,msikiti wala ambulance iliyochomwa waweke ushahidi.
sijasema kanisa wala msikiti ambulance zimechomwa 200 msikilize mwigulu leo katoa orodha ofisi za serikali 756, vituo vya BRT 26, MABASI 6, nyumba binafsi 273, magari binafsi 1642, vituo vya mafuta 600, pikipiki 2268, magari ya serikali 976, vituo vya polisi 159
 
huo ndo upumbavu mnaolishwa, hizo kesi ni kweli kabisa kuna ubadhirifu lakini ule usenge sio suluhu, Netanyau ana kesi ya rushwa , Israeli walichoma nchi? Sarkozy aliiba B 60 na rushwa kibao wafaransa walichoma nyumba zao? marekani ulisikia USAID waliiba zaidi ta trilioni 200 za kitanzania umesikia wamerani wamechoma nchi yao? Marekani ina homeless milioni 98 bado inadonate hela Ukraine , Israel umesikia wakichoma nchi yao? sisi wapumbavu daraja A ndo tunajiletea usenge wenyewe , YAANI NINGEKUWA RAIS nadhani sasahivi wangekuwa watu laki 2 wameshakula risasi , Watu milioni 65,750,000- 200,000 = 67,550,000 pure clean citizents remain

MBWA WAKUBWA WALIONZISHA VURUGU 29TH OCTOBER
Tusiongee sana naona naongea na dogo mbumbumbu anaongea anatukana tukana ananivunjia heshima, kiufupi uwezo wako ni mdogo sana.

Watu wanaiba na kuuwa watu kabla ya maandamano wewe umekomaa na watu walio choma nyumba japo mimi sijaona nyumba iliyochomwa wala sijawai kuona maandamano makubwa kama ya Tanzania yakose uharibifu sijawai kuona.
 
sijasema kanisa wala msikiti ambulance zimechomwa 200 msikilize mwigulu leo katoa orodha ofisi za serikali 756, vituo vya BRT 26, MABASI 6, nyumba binafsi 273, magari binafsi 1642, vituo vya mafuta 600, pikipiki 2268, magari ya serikali 976, vituo vya polisi 159
Mwigulu ndio nani, watu maskini kama wewe ndio wa kumsikiliza mwigulu vilaza
 
Back
Top Bottom