inaonyesha umelewa na bibi mzaa mama maana unapenda mdebedo sana etu sheria na katiba hata kwa wahalifiDogo wewe ni jinga sana kichwani usivimbe bichwa kama nchi haina sheria inamaana hakuna polisi hakuna raisi hakuna ubunge, kila mtu atakuwa polisi kivyake uwepo wa polisi na jeshi ni kwa muujibu wa sheria na sheria haziruhusu kuuwa.
Hujui hata polisi ni nini kama hakuna sheria, hujui hata raisi ni nini kama hakuna sheria, kila kitu kipo kisheria sheria ndio imetangulia kabla ya polisi na rais na hizo ambulance.
Jinga sana hili jamaa
View: https://www.youtube.com/watch?v=EWnnqTcsm5o
Kula hiyo kwanza halafu uone magufuli alivyowalaza buku 2 chap