Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

unajua walio uwawa hawakuwa majambazi wengi ni watoto na wanawake wajawazito wasio na silaha wa tishio lolote ?
kwenye vurugu wale ni bahati mbaya na huwezi kutenganisha , na zile ni small technical mistakes
 
Kwahiyo sheria haifai ?
hivi umeshawahi kusikia mbeba Unga anawaza kupeleka SAUDI ARABIA, IRAN AU MALAYSIA? jibu ni no though wapo wanaorisk, umeshaona mateja china ? kwa nini ? ukishikwa kifo tu hivyo inapunguza trial attempts
 
Kwahiyo waandamanaji ni wabeba unga na madawa ya kulevya ?
 
Unajua kuna walio fuatwa majumbani hii nayo ni technical mistakes ?
ukweli sijui kwa nini walifuatwa , labda watu walikuwa wanakimbilia kwenye majumba hilo ni kosa kwa wtekelezaji, ningekuwa mimi ningeendelea kushauri baada ya sasa waaambiwe wawe wanalenga walioko barabarani tu

Nakuapia kwa jina la mwenye mungu ningekuwa mkuu wa mkoa wa Dar ningepunguza madhara kwa ukubwa mno

1. Ningegawanya team kwenye task force 10 kila moja na askari 8 tu wavae kiraia na magari ya kiraia nawagawa kote kwenye amsha amsha kwa hiyo waandamanaji wasingejua kuwa hawa ni askari wakiwakaribia tu wanachapa wahuni kweli kweli,

2.Kila kituo ningewapanga wanajeshi wasio na uniform wahuni wakikaribia tu chuma.

3. Mwendo kasi zote ningewapnga wanajeshi wenye silaha bila uniform ukikaribia tu chuma

Hao mapolisi wenye uniform ningewasmabaza kukimbia kkimbia mitaani ili tu kuwa distract waandamani majambazi
4. Ningewaweka wale wapelezi wangu kwa wahuni wachocheee kulekea kwenye maeneo yenye askari wangu waliweka mtego wakifika tu wanaisha wote na inakuwa fundisho

5 Ningetumia helikopta kujua maendeo yaliyochngamka kwa sababu dar kubwa halafu nikituma vikosi warudi na ushindi wa kishindo utakuwa umeshanielewa
6. Nisingefunga mtandao ili nikianza kuwashughulikia wapate ujumbe wote

MBONA NUSU SIKU TU TAARIFA ITAKUWA IMESHAFIKA KUWA VIJANA WANAISHA
 
unanishangaza sana uwezo wako wa akili ni mdogo sana naomba tuishie hapa
 
Wale walichoma vituo vya kulinda usalama wa raia 159 ina maana wale ni mmagaidi walistahili KIFO TU Tena hawajaguswa kabisa yaani nasikitika sana ni wachche mno naomba mungu sana awape roho ya ujasiri polisi wawatandike waliopolea uraiani angalau kama elfu 5 kwa kuanzia huku phase 2 ikiwatafuta kama elfu 20 hivi
🤮🤮💩
 
ambulance 200 zimewakosea nini? magari binafsi 1600 yamewakosea nini? vituo 600 vys mafuta vimekosea nini ? mbwa kabisa wale sijui kwa nini waliwapiga wachache vile
Sema ghalama ya ivyovitu ulipwe ila wanaomba watu wote walio kufa wafufue na waliopata ulemavu wasiwe walemavu
 
na mimi nimeshajua upo kundi gani lakini hamtashinda hii vita October 29 mwisho halitajitokeza tena
Dogo kama huna akili hujui sheria za nchi hujui mifumo ya kiongozi yani hujui chochote hujui wala huoni madhara ya kuuwa basi tufunge huu mjadala wewe mjinga sana
 
Waandamanaji kulipwa ili waandamane haliwi kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo, kuandamana sio kosa Tanzania.

Niki kulipa ili uandamane sio kosa kwasababu maandamano ni halali kisheria,

Huu uzushi waliokuja nao kuwa waandamanaji wamelipwa ni sawa na kusema watu wamelipwa ili kuoga, kuoga na kuandamana sio kosa kisheria na mtu akilipwa ili aoge sio kosa na wala hukumu yake sio kifo.

Vipi matokeo ya kulipwa ili uoge, lakini wakati uko bafuni unaoga, ukamsukia Dada wa kazi ukamba?
 
Dogo kama huna akili hujui sheria za nchi hujui mifumo ya kiongozi yani hujui chochote hujui wala huoni madhara ya kuuwa basi tufunge huu mjadala wewe mjinga sana
nakupa shule ya mwisho kwa mifano maana nimegundua umekariri ujinga wa kinachoitwa haki za binadamu, hakuna haki bila wajibu, Mfano mdogo Kenya walijifanya machizi wakafanya fujo wakavunja na bunge kisa walikuwa wanadekezwa, Ruto aliamrisha tu wapigwe risasi walipigwa pigwa wachache na wakakoma mbona, BINADAMU ANAJIFANYA KICHAA KAMA AKILEGEZEWA , DAWA NI SHABA TU
 
Madulu mwenyewe amelipwa ili aongee anayo ongea, Polisi wenyewe walilipwa kupiga, kubaka na kuua waandamanaji, Wanajeshi walilipwa kulinda Majengo ya serikali na vigogo, Manesi walilipwa kutibu vidonda vya walio umia, Walibeba maiti na kuzichoma au kuzika walilipwa pia.

Nani ambae hajalipwa?
 
ambulance 200 zimewakosea nini? magari binafsi 1600 yamewakosea nini? vituo 600 vys mafuta vimekosea nini ? mbwa kabisa wale sijui kwa nini waliwapiga wachache vile
Washakuelewa safari hii watawafata waliowakosea moja kwa moja.
 
sijasema kanisa wala msikiti ambulance zimechomwa 200 msikilize mwigulu leo katoa orodha ofisi za serikali 756, vituo vya BRT 26, MABASI 6, nyumba binafsi 273, magari binafsi 1642, vituo vya mafuta 600, pikipiki 2268, magari ya serikali 976, vituo vya polisi 159
Hivi Dar nzima kuna vituo vingapi vya BRT?
 
nakupa shule ya mwisho kwa mifano maana nimegundua umekariri ujinga wa kinachoitwa haki za binadamu, hakuna haki bila wajibu, Mfano mdogo Kenya walijifanya machizi wakafanya fujo wakavunja na bunge kisa walikuwa wanadekezwa, Ruto aliamrisha tu wapigwe risasi walipigwa pigwa wachache na wakakoma mbona, BINADAMU ANAJIFANYA KICHAA KAMA AKILEGEZEWA , DAWA NI SHABA TU
Dogo wewe ni jinga sana kichwani usivimbe bichwa kama nchi haina sheria inamaana hakuna polisi hakuna raisi hakuna ubunge, kila mtu atakuwa polisi kivyake uwepo wa polisi na jeshi ni kwa muujibu wa sheria na sheria haziruhusu kuuwa.

Hujui hata polisi ni nini kama hakuna sheria, hujui hata raisi ni nini kama hakuna sheria, kila kitu kipo kisheria sheria ndio imetangulia kabla ya polisi na rais na hizo ambulance.

Jinga sana hili jamaa
 
ambulance 200 zimewakosea nini? magari binafsi 1600 yamewakosea nini? vituo 600 vys mafuta vimekosea nini ? mbwa kabisa wale sijui kwa nini waliwapiga wachache vile
Tena ingekuwa vizuri wewe na ukoo wenu wote wa wachawi.mchomwe
 
Back
Top Bottom