Waandamanaji kulipwa si kosa la jinai wala hukumu yao sio kifo

Tusiongee sana naona naongea na dogo mbumbumbu anaongea anatukana tukana ananivunjia heshima, kiufupi uwezo wako ni mdogo sana.

Watu wanaiba na kuuwa watu kabla ya maandamano wewe umekomaa na watu walio choma nyumba japo mimi sijaona nyumba iliyochomwa wala sijawai kuona maandamano makubwa kama ya Tanzania yakose uharibifu sijawai kuona.
nadhani haupo Tanzania, ninaongea kwa uchungu sana maana siku tano zote tumehangaika kuzuia hayo majambazi , kama nimekutolea kauli mbaya nisamehe lakini nia yangu ujumbe ufike kuwa yale hayakuwa maandamano wale ni magaidi , majambazi na majitu ya hovyo kabisa nia yao ilkuwa ni kuifanya Tanzania magofu , siku 2 tu uhalifu uliofanyika wa ajabu sana, Nimeambiwa nikatwe mguu moja leo ili wale wahuni watafutwe laki 2 wauawawe ningebali haraka mno
 
Chanzo za hao unaowaita majambazi ni nini hasa hadi waingie barabarani?
 
Waziri mkuu wa uchaguzi huu wa damu na wizi ndio unaona mzuri lakini walio choma nyumba ndio wanastahili kifo ?
Ndugu nahisi haupo Tanzania wewe sijui huko Dar palivyokuwa mimi nipo Mbeya wamechoma vitu nje ya maofisi yetu tumejilinda kwa gharama kubwa sana na risk ngumu mno, unalinda mchana na usiku bila kufunga jicho , MBWA WAKUBWA SANA KIFO CHA JAMBAZI NI SHEREHE HADI KWA MUNGU
 
chanzo cha kuchoma ni nini sio utekaji, mauwaji, uliokuwa unapigiwa kelele?
 
sijasema kanisa wala msikiti ambulance zimechomwa 200 msikilize mwigulu leo katoa orodha ofisi za serikali 756, vituo vya BRT 26, MABASI 6, nyumba binafsi 273, magari binafsi 1642, vituo vya mafuta 600, pikipiki 2268, magari ya serikali 976, vituo vya polisi 159
Hakuna video yoyote katika hayo matukio ya ambulance kuchomwa kama ipo waonyeshe ushahidi.
 
Chanzo za hao unaowaita majambazi ni nini hasa hadi waingie barabarani?
Ndio nimeandika sana humu kusema Samia umekosea kumteka Polepole kwa sababu alikuwa anakosoa kistaarabu na hiyo ndo style nzuri ya kukosoa na kukemea , style ya gwajima, soka, lakini suluhu sio walichofanya njia zipo nyingi na sio Tanzania tu mbona Rwanda inatokea mbona Uganda inatokea ? wanachoma nchi yao?
 
Kwahiyo kwa uelewa wako kuchoma nchi ni kosa kubwa kuliko kuteka na kuuwa ?

kwahiyo kumbe adhabu ya ukosoaji bila ustarabu ni kutekwa na kuuwawa. unamaanisha hivi.
 
Hakuna video yoyote katika hayo matukio ya ambulance kuchomwa kama ipo waonyeshe ushahidi.
kwani una video ya vitu vyote nilivyovitaja unataka kubisha nini walivyochoma ofisi ya mbalizi mbeya ambulance 2 zilikuwa zimepaki ndani , gari mpya ya idara ya umwagiliaji, pick up ya Tanroad, gari ya Das mbeya vijijini magari mengine matatu sijui ya idara zipi , na huku naongelea ni mikoani je hapo dar ambapo ndo uharibifu ulikuwa mkubwa zaidi wamefanyaje
 
Kwahiyo kwa uelewa wako kuchoma nchi ni kosa kubwa kuliko kuteka na kuuwa ?

kwahiyo kumbe adhabu ya ukosoaji bila ustarabu ni kutekwa na kuuwawa. unamaanisha hivi.
WALE WA SIKU ILE WALISTAHILI KUUWAA TENA WA KUTOSHA
 
kwani una video ya vitu vyote nilivyovitaja unataka kubisha nini walivyochoma ofisi ya mbalizi mbeya ambulance 2 zilikuwa zimepaki ndani , gari mpya ya idara ya umwagiliaji, pick up ya Tanroad, gari ya Das mbeya vijijini magari mengine matatu sijui ya idara zipi , na huku naongelea ni mikoani je hapo dar ambapo ndo uharibifu ulikuwa mkubwa zaidi wamefanyaje
Kuchoma ambulance na kuuwa na kuteka hipi ni hatari zaidi ?
 
mwenye akili ya kuchoma anaweza kuua kwa hiyo auawe ili iwe fundisho, hivi mnaongelea kifo cha mhalifu kweli? mbona kama na nyie mna matatizo kichwani kama anapenda kuishi si awe raia mwema,
 
inaonekana kuuwa kwako ni kitu cha kawaida sana, hivi unajua sheria za nchi ?
 
Kuchoma ambulance na kuuwa na kuteka hipi ni hatari zaidi ?
naomba nikukumbushe kidogo, wakati wa Magufuli ameingia tu kuna wahuni walianza kuvamia vituo vya polisi wakaua polisi saba mbagala baadae stakishari na ujambazi ullibuka sana ukitoka tu mlimani city na hela unavamiwa, MAGUFULI ALIPOSEMA TU Polisi ukinyanganywa bunduki na wewe ufukuzwe kazi, walipiga risasi majambazi kweli kweli kuna waliopigwa kimakosa kuna walipigwa kihalali wengi sana zaidi ya watu 600 walikufa na nchi ikapona rasmi , Hayo ndo maamuzi sahihi ondoa kirusi ponya wengi
 
naomba nikukumbushe kidogo, wakati wa Magufuli ameingia tu kuna wahuni walianza kuvamia vituo vya polisi wakaua polisi saba mbagala baadae stakishari na ujambazi ullibuka sana ukitoka tu mlimani city na hela unavamiwa, MAGUFULI ALIPOSEMA TU Polisi ukinyanganywa bunduki na wewe ufukuzwe kazi, walipiga risasi majambazi kweli kweli kuna waliopea kimakosa kuna walipigwa kihalali wengi sana zaidi ya watu 600 walikufa na nchi ikapona rasmi , Hayo ndo maamuzi sahihi ondea kirusi ponya wengi
Wewe ni polisi ?
 
Wewe ni polisi ?
hapana ila nipo nao karibu sana HQ, mama mzazi alikuwa polisi mpaka level ya SACP na mzee wangu alishakuwa mjeda Major Gen alipostaafu akanywa RC miak 9 mikoa korofi alikuwa mkuu wa mkoa maalum mikoa korofi enzi ya mkapa na mwanzo wa kiwete , nikuwa nasikia sana operations zinavyofanyika na zingine nilkuwa nasikia mengi sana kesho tunawamaliza kadhaaa kwa sababu kadhaa au tunamsaka flani ana silaha , na kweli kulikuwa na utulivu vyombo vikiamua
 
Unajua sheria za nchi kuuwa kivyovyote ni kosa ?
 
Wewe ni polisi ?
tafuta jina la RPC mwanamke aliyekomesha ujambazi miaka hiyo mbeya wakati mbeya imeungana na songwe , ndo maana sipendi kudekeza washenzi, enzi hizo ilkuwa ukifanya ujambazi informer wakakutaja zawadi ni moja tu shaba za kutosha na marafiki zako wote wanaokuzunguka
 
unajua walio uwawa hawakuwa majambazi wengi ni watoto na wanawake wajawazito wasio na silaha wa tishio lolote ?
 
Back
Top Bottom