Mkuu, viongozi wa Afrika ni wabinafsi kama nyegele.Hila viongozi wa nchi za africa huwa solution ya matatizo ya kifedha huwa wanaona kupandisha gharama kwa wananchi badala ya kupunguza matumizi ya serikali ya sio ya lazima unakuta nchi ina hali ngumu kifedha lakini hyo hyo nchi imetoa order gari za dhamani kubwa kwa ajili ya viongozi wakati wangeweza kununua gari nzuri kwa bei ya chini
Wakenya wanajitambua sio sisi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wafuasi wengi wa CCM ni.... Ripoti ya Twaweza.Citizen ni TV ya wajaluo na waandamanaji wengi wajaluo
Ukabila Kenya utawamaliza
Unaongea kama hujasoma historia ya kinjeketile Ngwale.Mwana kulitafuta mwana kulipata, wahenga walisema.
Sasa sisi wajaluo tumehusikaje hapoWaa
Waamanaji wengi wajaluo
Kenya kumekucha ukabila utaiua Kenya
Kujitambua kwao kusije kukawaletea majangaWakenya wanajitambua sio sisi
HatariUsihamaki ndivyo Hali ilivyo,
Walizoea kula Kwa mama ntilie, Leo wanakula canteen ya Bunge,
Kumbe tusikate tamaa maishani!!
Ni Nchi Jirani tu hapo 🤔
Karibuni🙏
NI KODI YAO NA WACHA WAJIPAKULIEUsihamaki ndivyo Hali ilivyo,
Walizoea kula Kwa mama ntilie, Leo wanakula canteen ya Bunge,
Kumbe tusikate tamaa maishani!!
Ni Nchi Jirani tu hapo 🤔
Karibuni🙏
Tuletee video na picha.
Matomaso Tupigee Mstari.
Hapa ni Senate.., hawakufauli kuingia Parliament ya Mps.., hapa ni kwa Senators..,Waandamanaji Kenya (GenZ) wamefanikiwa kuingia Ndani ya Ukumbi wa BUNGE kupinga Financial BILLS
Leo tarehe 25/6/2025
View: https://x.com/Winnie_Odinga/status/1805585410514415704?t=dUYuBwGTs4F3f_sArM48cA&s=19
Tanzania tuanze kujipanga muda wowote mipakani Mpaka WA Tanzania na Kenya watu waweza Anza kufurika Tanzania kukimbia mapigano au wafanyabiashara hasa wahindi WA Kenya kuvuka Mpaka Kwa wingi kuja Tanzania wakisubiri hali.ipoe Kenya ndio warudiKujitambua kwao kusije kukawaletea majanga
Umedanganya sasa.., hizi chuki na porojo mtaziwacha lini?.., fikra zako ni potovuLakini pia usijisahaulishe kuwa kuna motive ya ukabila nyuma ya hiko wafanyacho.
We know a lot about that failed state..that is always fighting for food from January to December.
Wasomi njaa 🤣🤣🤣🤣
KweliTanzania tuanze kujipanga muda wowote mipakani Mpaka WA Tanzania na Kenya watu waweza Anza kufurika Tanzania kukimbia mapigano au wafanyabiashara hasa wahindi WA Kenya kuvuka Mpaka Kwa wingi kuja Tanzania wakisubiri hali.ipoe Kenya ndio warudi
Hawana chembe ya ustaarabu,
Picha IPO comment no 6.Tuletee video na picha.
Matomaso Tupigee Mstari.