Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
Mkuu, viongozi wa Afrika ni wabinafsi kama nyegele.Hila viongozi wa nchi za africa huwa solution ya matatizo ya kifedha huwa wanaona kupandisha gharama kwa wananchi badala ya kupunguza matumizi ya serikali ya sio ya lazima unakuta nchi ina hali ngumu kifedha lakini hyo hyo nchi imetoa order gari za dhamani kubwa kwa ajili ya viongozi wakati wangeweza kununua gari nzuri kwa bei ya chini