Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

Waandamanaji wa Israeli waandamana kupinga 'haki ya kubaka' wafungwa wa Palestina

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina.

Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo mwanzoni.

Waliopindukia mipaka ni wale walioandamana hapo jana kutaka haki ya kufanya mambo ya kishoga na wafungwa wa kipalestina ambao wako kwenye magereza wanayoyasimamia.

Wiki iliyopita kundi la mashoga kama hao walitajwa kumlawiti mfungwa mmoja wa kipalestina jambo ambalo baada ya kutangazwa lilizua kulaaniwa sana kwa kitendo hicho ambacho ni haramu kwa waislamu.

Baada ya lawama hizo makundi kadhaa ya kiyahudi yamefanya maandamano yakitaka jambo hilo liruhusiwe kikawaida kila wanapotaka kulifanya.

Kuonesha kuwa jambo hilo ni la kawaida katika nchi hiyo dhalimu,miongoni mwa walioandamana ni raia wa kawaida,waandishi wa habari na wafanyakazi wa vituo vya televisheni.

WATCH: Israeli protesters rally for ‘the right to rape’ prisoners​

Protesters, politicians and TV commentators in Israel are defending the right of soldiers to mistreat and even rape Palestinian prisoners in detention.
The show of support follows the gang rape of a male detainee by a group of Israeli reservists.
Watch our report:
 
Taifa la kiyahudi kila siku zinavyokwenda linazidi kujipambanua rangi zake zilizokuwa zimejificha mwanzoni mwa vita kati yake na wapalestina,
Wako mawaziri ambao wameandamana na wafuasi wao wakaitaka waruhusiwe kufanya ibada ndani ya msikiti mtakatifu wa Aqsa jambo ambalo halikutajwa hapo mwanzoni.
Waliopindukia mipaka ni wale walioandamana hapo jana kutaka haki ya kufanya mambo ya kishoga na wafungwa wa kipalestina ambao wako kwenye magereza wanayoyasimamia.
Wiki iliyopita kundi la mashoga kama hao walitajwa kumlawiti mfungwa mmoja wa kipalestina jambo ambalo baada ya kutangazwa lilizua kulaaniwa sana kwa kitendo hicho ambacho ni haramu kwa waislamu.
Baada ya lawama hizo makundi kadhaa ya kiyahudi yamefanya maandamano yakitaka jambo hilo liruhusiwe kikawaida kila wanapotaka kulifanya.
Kuonesha kuwa jambo hilo ni la kawaida katika nchi hiyo dhalimu,miongoni mwa walioandamana ni raia wa kawaida,waandishi wa habari na wafanyakazi wa vituo vya televisheni

Moderators nyuzi nyuzi kama hizi umaziacha za nini,piga ban la maisha

USSR
 
Moderators nyuzi nyuzi kama hizi umaziacha za nini,piga ban la maisha

USSR
hIzo ban zina taratibu na sababu.Kama hii ikipigwa ban itakuwa ni aibu kwa jF
 
hIzo ban zina taratibu na sababu.Kama hii ikipigwa ban itakuwa ni aibu kwa jF
Hilo jinga kweli hilo lazima litakuwa shoga tu, huoni lilivyo kasirika eti ban ya maisha.

Kondoo kweli, kwani hapa watu wanalipwa mshahara, hajui kuna wakati tunapoteza mda wetu afu tunajuta mda umenda bila kuingiza pesa. Afu mazowea yana tabu wakikuban siwatakua wamekuepusha kukutana na wajinga kama hao 😄
 
Taifa la kikristo hilo kwa kupenda ushoga usiombe, ushoga upo kwenye damu zao.
Hakuna nchi duniani imejipambanua kama ni taifa la kikristo hata moja Israeli wayahudi Wana contribute karibia asilimia 74% huku wakifuatiwa na waislamu ambao ni kama asilimia 14% wakristo ndo minority chini ya asilimia 2%
 
Back
Top Bottom