Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
MwNimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura.
Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye mwingine hana ajira lakini kapata nafasi tu bado anatapeliwa ,pesa yake .
Afisa mwandikishaji ,jimbo la Bukoba Mjini ,ndugu Jacobo S Nkwera, anaweza akatupa sababu kwanini waandikishaji hawajalipwa pesa zao ,
Tuwe fair kwenye mambo mengine .
Mwanzo mpaka mwisho wanapokea jumla ya shs ngapi?????Nimepokea kwa masikitiko sana baada ya kuona baadhi ya vijana waliopata nafasi ya kushughulikia zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga Kura.
Jimbo la Bukoba Mjini wakitapeliwa kiasi Cha shilingi elfu sitini ,kwa kila mmoja yaani hela ya siku moja .Ni aibu kubwa kwa kijana ambaye mwingine hana ajira lakini kapata nafasi tu bado anatapeliwa ,pesa yake .
Afisa mwandikishaji ,jimbo la Bukoba Mjini ,ndugu Jacobo S Nkwera, anaweza akatupa sababu kwanini waandikishaji hawajalipwa pesa zao ,
Tuwe fair kwenye mambo mengine .
Kazi tunafanya Sana Ila tunasimamia hakiKijana acha malalamiko chapa kazi.