Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kule Clouds TV na radio kuna Waandishi wa habari Nguli?? Labda wazuri wapo lakini siyo hivyo unavyo taka kutuaminisha.Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona.
Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza kuwa wao kama waandishi wanaongozwa na miiko ya taaluma yao katika kuandika na kuripoti habari hivyo Msando asiwafundishe kazi.
Watangazaji hao nguli walikuwa wanaijadili clip iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha Msando akigawa Barakoa na vitakasa mikono kwa waandishi wa habari wa Arusha, na wamemkosoa kwa kugawa barakoa wakati yeye mwenyewe akiwa hajavaa.
Pia soma > Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Chanzo: Clouds tv!
Ni Zuzumagic daraja la kwanza
Ngoma naye ni mwandishi NGULI ? mleta mada ni ngumbalu kweli kweliWatangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona.
Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza kuwa wao kama waandishi wanaongozwa na miiko ya taaluma yao katika kuandika na kuripoti habari hivyo Msando asiwafundishe kazi.
Watangazaji hao nguli walikuwa wanaijadili clip iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha Msando akigawa Barakoa na vitakasa mikono kwa waandishi wa habari wa Arusha, na wamemkosoa kwa kugawa barakoa wakati yeye mwenyewe akiwa hajavaa.
Pia soma > Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Chanzo: Clouds tv!
Umenena vema!Wao clouds waendelee kukaa kusubiri habari ndo waitangaze lakini Msando anawasihi watoke wakatafute habari. Anayesubiri habari ndo atangaze hawezi kuwa mwanahabari.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Eti waandishi nguli! A bunch of idiots.
Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona.
Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza kuwa wao kama waandishi wanaongozwa na miiko ya taaluma yao katika kuandika na kuripoti habari hivyo Msando asiwafundishe kazi.
Watangazaji hao nguli walikuwa wanaijadili clip iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha Msando akigawa Barakoa na vitakasa mikono kwa waandishi wa habari wa Arusha, na wamemkosoa kwa kugawa barakoa wakati yeye mwenyewe akiwa hajavaa.
Pia soma > Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Chanzo: Clouds tv!
Hata hiyo ya Msando wamesubiri, kwanini wawe wa kwanza na si serikali. Wajibu hoja ya Msando, watoke ofisini waende field, au wanaogopa Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wao clouds waendelee kukaa kusubiri habari ndo waitangaze lakini Msando anawasihi watoke wakatafute habari. Anayesubiri habari ndo atangaze hawezi kuwa mwanahabari.
First grade Idiots.Eti waandishi nguli! A bunch of idiots.