Waandishi wa Gazeti la Observer ni kina nani, wanaandika broken English

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20201207_193537.jpg

Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili?

To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe
 
Aibu gani? Msafara ulikosa mkalimani kiswahili kwenda kiingereza nchi Zimbabwe! Inatosha hivyo hivyo asiyependa asinunue akachapishe lakwake asome na shangazi yake.
 
View attachment 1644102

Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili?

To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe
Sio gazeti la Musiba hili?
 
Asalalaaa!!! Oooh! hakuna ajira, wanaajiriwa Wakenya na Waganda. Duuuu!!! Tuna safari ndefu sana!!!
 
View attachment 1644102

Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili?

To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe
Mhariri Mkuu wa hayo Magazeti hujamjua tu Mkuu?

Ni Dr. Abbas Mwenyewe
 
Back
Top Bottom