MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli?
2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja?
3. Je, TFF, Kamati yake ya Nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo ilimtuma Mchezaji wao Deus Kaseke atake Kumpiga Mwamuzi Mbeya?
4. Je, Yanga SC walikuwa wanasubiri hadi watoke Sare hivi ndipo wailalamikie TFF, Kamati yake ya Nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson? Walikuwa wapi Kuilaumu ( Kuishutumu ) pale walipokuwa wanashinda Mechi zao?
5. Je, TFF, Kamati yake ya Nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson imeshaitangaza Simba SC kuwa ndiyo Mabingwa wa 2020 / 2021 VPL hadi waanze Kuweweseka mapema hivi?
6. Je, TFF, Kamati yake ya Nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo huwa inawafanya Yanga SC waamini sana katika Ushirikina wawapo Uwanjani na wasiposhinda Wachezaji wake akina Kaseke na Mukoko wawe wanakimbilia Kufukua Vitu katika Magoli ya Timu Pinzani?
7. Je, TFF, Kamati yake ya Nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo walimwambia Kocha Mkuu ya Yanga SC Cedric Kaze apangue Kikosi juzi na Kubadili Mfumo wa Timu ulioigharimu Yanga SC na Kufungwa Kizembe hadi kutoka Sare?
Waandishi wa Habari za Michezo nchini Tanzania sijui mpoje. Yaani ni Kichefuchefu tupu kuanzia mkiwa Redioni au Runingani au katika Magazeti na si ajabu Tasnia nzima inadharaulika kwa kuwa na Watu Goigoi na mnachokijua ni Ushabiki tu.
Badilikeni haraka kwani hamjachelewa.