Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

Du kama kweli gamond alimshangaa hiyo mwandishi basi aibu sana
Alianzisha Kuwa Na Wasiwasi Ikabidi Gamond Amuulize Mwandishi Wa Habari Mbona Unauliza Swali Kama Shabiki Akamuongeza Swali Jingine Akasema Huyo Shalulile Amefanya Nini Uwanjani Zaidi Ya Mzize?
 
Unajua wengi wao wanaunda maswali yao kwa kiswahili halafu wanayatafsri kwa kiingereza neno kwa neno, na hivyo kupoteza maana yake ikiwa ni pamoja na kuvuruga grammar.
Waandae Templates Za Maswali Hakuna Kimya Katika Hizi Press Ni Kujiandaa Mapema Na Si Kukurupuka
 
Mwandishi wa habari aliuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavu na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari baada ya mchezo.

"Mzize ni 'Future' ya Tanzania sio Yanga tu, sasa atapataje uzoefu kama hapati nafasi ya kucheza, mbona kacheza vizuri sana, katengeneza nafasi nyingi, kukosa ni kawaida kwa washambuliaji, au hujaona alichokifanya, wewe ni mwandishi wa habari nadhana una uelewa wa mambo kuliko shabiki, sasa unaulizaje swali kama shabiki, aya nami nikuulize yule Peter Shelulile wa Mamelod Sundowns katengeneza nafasi ngapi?" - Gamondi.
Jibu la kibabe sana hili [emoji119][emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sio waandishi wa habari tu sector zote... Mbona madaktari wanapasua wagonjwa vichwa baada ya miguu🙄🙄. Afu kiingereza sio lugha mama yetu. Hatuitaki asee.
Basi Hata Kama Lugha Si Yetu Ila Mpangilio Wa Swali Uwepo Ili Hata Kama Huko Mbele Wakalimani Wakiwepo Wasisumbuke.
 
Nadhani pia sheria ya uanzishwaji wa online media ziangaliwe upya, zimekuwa nyingi sana kiasi cha kwamba wana employ hata unqualified individuals, matokeo yake ndo yale sasa
 
Ndiyo aina ya waandishi wanaosema meli ya Kwenye Ziwa Victoria itasafiri Mpaka Burundi , Rwanda na Zambia .
Wameomba Radhi Kwa Matangazo Yale Na Wanasema Amechukuliwa Hatua Yule Mwandishi
 
Mimi nilikuwa nasikia aibu kila swali la hovyo likulizwa, mpaka ikabidi kubadili channel
Mkuu Usingebadili Channel Fatilia Vyema Ili Tukuze Tasnia Ya Habari Pale Wanapohitaji Maboresho
 
Wameomba Radhi Kwa Matangazo Yale Na Wanasema Amechukuliwa Hatua Yule Mwandishi
Tatizo la watangazaji wa bongo wanaongea sana bila kipimo au breki matokeo yake wanaharibu .
Wanafikiri kuongea sana ndiyo kujua kazi .
 
Kwa mfano ungekuwa wewe ndio mwandishi wa habari ungeuliza maswali gani. Tupe mfano wa maswali matano
Mambo Yote Yapo Mtandaoni Mkuu Mfano Hapa Nimefanya Haraka Haraka Kutafuta Mfano Wa Hayo Maswali.
What are some good interview questions to ask football players and coaches after a tough loss?

  1. What do you think went wrong tonight? This question is especially good to ask to the coach, because his answer can tell you a lot about him. If he blames it on a player or a situation, than you know that he is looking for excuses for the lost and that he isn't a good coach. A good coach understands that a soccer game is played by a team of the 12 players (11 on the field plus one or more coaches) for 90 minutes. Therefore, he knows that it isn't a situation that made them lose the game but an aspect of their game that needs to be improved. If he answers by saying we played the best we could but it wasn't enough, than you know that he doesn't think his team is the best. The best soccer coach would be able to think that his team is the best in the league, but that it will always need improvements because nothing is perfect in life.
  2. What are you going to do in order to not lose next game? This question can be aimed at a player or a coach. The best answer to this question would be to admit where their game went bad (i.e. Their communication) and tell a solid plan to improve on this aspect (i.e. We are going to do a communication exercise at our next practice).
 
Shida kubwa hapa ni lugha huenda wanataka kuuliza swali la msingi sana ila jinsi ya kuliweka swali kwenye lugha ya Kiingereza ndio inaleta shida.

Nashauri kungalikua na mkalimani wa lugha ili hawa waandishi waulize kwa lugha ya Kiswahili naamini huenda tafsiri ya maswali yao ikawa imekaa vizuri zaidi.

Kwamfano lile swali Gamondi aliloulizwa kuhusu mzize nafikiri alipaniki bure tu, maana halisi ya muuliza swali ilikua pamoja nakua ana sttiker mwenye uzoefu kama Guede kwenye timu lakini akaamua kumsimamisha Mzize anafikiri ni kwa kiasi gani amemuamini mzize ambae ni youngstar over striker kama Guede,

Na si kwamba Muandishi alimdharau Mzize
Hapa Hawajifunzi Swali Kama Hilo La Hovyo Limewahi Kutokea Kwa Pitso Mosimane Kipindi Yupo Al Ahly Ila Yule Mwandishi Alikuwa Na Bias Ya Kwanini Pitso Anamuanzisha Louis Miquissone Na Kuwaacha Wachezaji Wengine Na Alikaripiwa Hivyo Hivyo Kama Alivyokaripiwa Jana.

Sasa Waandishi Wajifunze Kupitia Hayo
 
Kwani nini kimetokea mkuu? Kama wewe una uelewa mpana mbona umeshindwa kussema nini kimetokea na ni wapi wamekosea mkuu?
Mkuu soma kwenye bandiko lake ameelezea kwa muhtasari kilichotokea. Yote kwa yote Watanzania tujitahidi kusoma hasa vitabu vinavyohusu tasnia zetu. Elimu elimu elimu ni muhimu.
 
Habari.

Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2.
Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.

Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.

Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rai Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali, Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.

Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu, Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.

Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe, Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.

Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.

Baadhi Ya Maswali Ambayo Waandishi Wa Habari Waliyotutia Aibu Ni Hivi:-

1. Kukosa Mpangilio Mzuri Wa Swali Husika (Swali Kukosa Maana) Hata Kama Limeulizwa Katika Lugha Ya Kiingereza. Maswali Karibu Yote Hayakuleta Dhima Halisi Ya Press Baada Ya Mchezo Ni Kama Waandishi Wa Habari Hawakujiandaa Kabisa.

2. Waandishi Wa Habari Kuuliza Maswali Yanayoleta Bias Kwa Kocha Na Wachezaji. Mfano Mwandishi Wa Kituo Kimoja (Blog) Ameuliza Kwanini Unamuamini Mzinze Kucheza Mchezo Wa Young Africans Dhidi Ya Mamelod Sundowns? Gamondi Ikabidi Amjibu Huku Akimshangaa Na Kumwambia Ni Mchezaji Mdogo Ambae Ni Future Ya Taifa La Tanzania Na Amefanya Attempt Nyingi Kuliko Shalulile.

3. Mwandishi Wa Habari Anaulizia Leg 2 Utakayochezwa South Africa Next Week Wakati Press Ni Summary Ya Mchezo Wa Leg 1 Uliochezwa Muda Mchache Uliopita.

4. Mwandishi Wa Habari Alipewa Nafasi Ya Kuuliza Maswali Sasa Wakati Anauliza Akauliza Swali Moja Pekee Kumbe Ana Maswali Zaidi Ya Moja Sasa Kocha Anamaliza Kumjibu Yule Mwandishi Akataka Kuuliza Swali Jingine Kama Interview Na Kuleta Mkanganyiko Kwa Waandishi Wa Habari Wengine.

5. Mambo Ni Mengi Ila Nitajitahidi Kutafuta Video Ila Sidhani Kama Itapatikana Maana Waandishi Wa Habari Watabebana Kuficha Hii Aibu.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Pole sma mkuu Kuna waandishi wa habr ukiwasikilizaa nais kuhara aiasee
 
Mkuu una hoja ila usicapitalize kila neno next time.
 
Back
Top Bottom