Tatizo sio elimu. Uhandishi hahuhutaji elimu kubwa. Uhandishi wa habari ni kipaji cha mtu. Hata huko ulaya hakuna mwandishi wa habari Profesa wala dkt. Mwandishi habari sawa na mchezaji mpira. Hakuna mchezaji mpira duniani ni profesa wala dktElimu ndio shida tutalaumiana sana ila kuwa na elimu duni Kuna waumiza sana watanzania Nina uhakika hata wewe kazi Yako japo sijui lakini unaifanya kwa kiwango Cha chini sana shida ni elimu na mazingira ya kazi