Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
"What shall you do in South Africa?" Mbona English rahisi sana kuongea hata Rasi Simba hutuwezesha Watz wengi kuepuka aibu hizo?Mwandishi anauliza swali eti
" You shall do what in South Africa?
Hivi kweli mwandishi mwenye degree utazungumza English mbovu namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianzisha Kuwa Na Wasiwasi Ikabidi Gamond Amuulize Mwandishi Wa Habari Mbona Unauliza Swali Kama Shabiki Akamuongeza Swali Jingine Akasema Huyo Shalulile Amefanya Nini Uwanjani Zaidi Ya Mzize?Du kama kweli gamond alimshangaa hiyo mwandishi basi aibu sana
😂😂😂Yule mwandishi wa habari aliyeukoza swali la kikolo ndiye GENTAMYCINE yule.
Waandae Templates Za Maswali Hakuna Kimya Katika Hizi Press Ni Kujiandaa Mapema Na Si KukurupukaUnajua wengi wao wanaunda maswali yao kwa kiswahili halafu wanayatafsri kwa kiingereza neno kwa neno, na hivyo kupoteza maana yake ikiwa ni pamoja na kuvuruga grammar.
Jibu la kibabe sana hili [emoji119][emoji28]Mwandishi wa habari aliuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavu na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari baada ya mchezo.
"Mzize ni 'Future' ya Tanzania sio Yanga tu, sasa atapataje uzoefu kama hapati nafasi ya kucheza, mbona kacheza vizuri sana, katengeneza nafasi nyingi, kukosa ni kawaida kwa washambuliaji, au hujaona alichokifanya, wewe ni mwandishi wa habari nadhana una uelewa wa mambo kuliko shabiki, sasa unaulizaje swali kama shabiki, aya nami nikuulize yule Peter Shelulile wa Mamelod Sundowns katengeneza nafasi ngapi?" - Gamondi.
Basi Hata Kama Lugha Si Yetu Ila Mpangilio Wa Swali Uwepo Ili Hata Kama Huko Mbele Wakalimani Wakiwepo Wasisumbuke.Sio waandishi wa habari tu sector zote... Mbona madaktari wanapasua wagonjwa vichwa baada ya miguu🙄🙄. Afu kiingereza sio lugha mama yetu. Hatuitaki asee.
Ilibidi Kocha Wa Mamelod Amfichie Aibu Huyu Mwandishi[emoji3][emoji3][emoji3] akamjibu muandishi kwamba plan yake ni kufika South salama na kupumzika kwanza.Jamaa ana busara.
Wameomba Radhi Kwa Matangazo Yale Na Wanasema Amechukuliwa Hatua Yule MwandishiNdiyo aina ya waandishi wanaosema meli ya Kwenye Ziwa Victoria itasafiri Mpaka Burundi , Rwanda na Zambia .
Mkuu Situmii SimuUngerekodi video we Simu yako Ina kazi gani?
Shukrani Mkuu.Rahi❌
Rai✅
Mkuu Usingebadili Channel Fatilia Vyema Ili Tukuze Tasnia Ya Habari Pale Wanapohitaji MaboreshoMimi nilikuwa nasikia aibu kila swali la hovyo likulizwa, mpaka ikabidi kubadili channel
Tatizo la watangazaji wa bongo wanaongea sana bila kipimo au breki matokeo yake wanaharibu .Wameomba Radhi Kwa Matangazo Yale Na Wanasema Amechukuliwa Hatua Yule Mwandishi
Mambo Yote Yapo Mtandaoni Mkuu Mfano Hapa Nimefanya Haraka Haraka Kutafuta Mfano Wa Hayo Maswali.Kwa mfano ungekuwa wewe ndio mwandishi wa habari ungeuliza maswali gani. Tupe mfano wa maswali matano
Hapa Hawajifunzi Swali Kama Hilo La Hovyo Limewahi Kutokea Kwa Pitso Mosimane Kipindi Yupo Al Ahly Ila Yule Mwandishi Alikuwa Na Bias Ya Kwanini Pitso Anamuanzisha Louis Miquissone Na Kuwaacha Wachezaji Wengine Na Alikaripiwa Hivyo Hivyo Kama Alivyokaripiwa Jana.Shida kubwa hapa ni lugha huenda wanataka kuuliza swali la msingi sana ila jinsi ya kuliweka swali kwenye lugha ya Kiingereza ndio inaleta shida.
Nashauri kungalikua na mkalimani wa lugha ili hawa waandishi waulize kwa lugha ya Kiswahili naamini huenda tafsiri ya maswali yao ikawa imekaa vizuri zaidi.
Kwamfano lile swali Gamondi aliloulizwa kuhusu mzize nafikiri alipaniki bure tu, maana halisi ya muuliza swali ilikua pamoja nakua ana sttiker mwenye uzoefu kama Guede kwenye timu lakini akaamua kumsimamisha Mzize anafikiri ni kwa kiasi gani amemuamini mzize ambae ni youngstar over striker kama Guede,
Na si kwamba Muandishi alimdharau Mzize
Hiyo kawaida Sana kwa wasomi wa Leo,tarajia zaidi ya hayo,halafu hawaambilikiMwandishi anauliza swali eti
" You shall do what in South Africa?
Hivi kweli mwandishi mwenye degree utazungumza English mbovu namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu soma kwenye bandiko lake ameelezea kwa muhtasari kilichotokea. Yote kwa yote Watanzania tujitahidi kusoma hasa vitabu vinavyohusu tasnia zetu. Elimu elimu elimu ni muhimu.Kwani nini kimetokea mkuu? Kama wewe una uelewa mpana mbona umeshindwa kussema nini kimetokea na ni wapi wamekosea mkuu?
Pole sma mkuu Kuna waandishi wa habr ukiwasikilizaa nais kuhara aiaseeHabari.
Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2.
Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari.
Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo Kwao Pia Elimu Ni Ndogo Kwa Maoni Yangu Naona Wanaufinyu Wa Maarifa Kwenye Upande Wa Habari.
Hizi Press Waandishi Wa Habari Nawapa Rai Ya Kupitia Interview Za Walioendelea Kujifunza Kuuliza Maswali, Kila Kitu Kina Template Za Hizi Press Za Michezo Na Mashindano.
Watanzania Tuache Uvivu Wa Kusoma Maana Ni Aibu, Pale Tunapoonesha Ujinga Wetu Mbele Za Watu.
Kuboresha Sector Ya Habari Ianze Kwa Waandishi Wa Habari Wenyewe, Kwanza Kuongeza Maarifa Na Mambo Mengine Yatafata.
Ila Ukweli Kwa Press Ya Leo Ya Baada Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns, Waandishi Wa Habari Mmetutia Aibu.
Baadhi Ya Maswali Ambayo Waandishi Wa Habari Waliyotutia Aibu Ni Hivi:-
1. Kukosa Mpangilio Mzuri Wa Swali Husika (Swali Kukosa Maana) Hata Kama Limeulizwa Katika Lugha Ya Kiingereza. Maswali Karibu Yote Hayakuleta Dhima Halisi Ya Press Baada Ya Mchezo Ni Kama Waandishi Wa Habari Hawakujiandaa Kabisa.
2. Waandishi Wa Habari Kuuliza Maswali Yanayoleta Bias Kwa Kocha Na Wachezaji. Mfano Mwandishi Wa Kituo Kimoja (Blog) Ameuliza Kwanini Unamuamini Mzinze Kucheza Mchezo Wa Young Africans Dhidi Ya Mamelod Sundowns? Gamondi Ikabidi Amjibu Huku Akimshangaa Na Kumwambia Ni Mchezaji Mdogo Ambae Ni Future Ya Taifa La Tanzania Na Amefanya Attempt Nyingi Kuliko Shalulile.
3. Mwandishi Wa Habari Anaulizia Leg 2 Utakayochezwa South Africa Next Week Wakati Press Ni Summary Ya Mchezo Wa Leg 1 Uliochezwa Muda Mchache Uliopita.
4. Mwandishi Wa Habari Alipewa Nafasi Ya Kuuliza Maswali Sasa Wakati Anauliza Akauliza Swali Moja Pekee Kumbe Ana Maswali Zaidi Ya Moja Sasa Kocha Anamaliza Kumjibu Yule Mwandishi Akataka Kuuliza Swali Jingine Kama Interview Na Kuleta Mkanganyiko Kwa Waandishi Wa Habari Wengine.
5. Mambo Ni Mengi Ila Nitajitahidi Kutafuta Video Ila Sidhani Kama Itapatikana Maana Waandishi Wa Habari Watabebana Kuficha Hii Aibu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
Mkuu una hoja ila usicapitalize kila neno next time.Habari.