Waandishi wa Habari muwe na akiba ya maneno, kufurahisha watawala kutawadhalilisha

Nchi hii ngumu sana.




Inawezekana kabisa watanzania waliotukanwa, kudhalilishwa, kusingiziwa, kubaghazwa na mengineyo mengi ndiyo wenye mapenzi ya dhati kwa taifa lao.

Ukweli unaweza kuchelewa tu, lakini ikifika muda wake, huibuka na kujisemea wenyewe.

Leo ni huyu dada lakini kuna siku tutajua faida ya LISSU katika Taifa hili. Ni muda tu.
 
Hivi huyu mama mbona uraia wake vyanzo vingine vya habari vinasema ni Muingereza?
 
wivu huo!!!
punguzeni wivu mtapata magonjwa ya moyo buree.
aliyepewa kapewa........ tuache wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…