mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Leo Wivu tena...!!! Ndio maana wenzenu wanawapa watu mwenye akili sio Makamasi yako unayotoa.wivu huo!!!
punguzeni wivu mtapata magonjwa ya moyo buree.
aliyepewa kapewa........ tuache wivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo Wivu tena...!!! Ndio maana wenzenu wanawapa watu mwenye akili sio Makamasi yako unayotoa.wivu huo!!!
punguzeni wivu mtapata magonjwa ya moyo buree.
aliyepewa kapewa........ tuache wivu.
Ni mwandishi wa habari na mwanaccm , aliyepata kura 0 kura za maoniMkuu mnieleweshe kidogo hapo kwenye Pascal Mayalla sijaelewa kwamba ndio alie andika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli kichwa cha panzi unadandia hovyoMkuu!...mbona umeleta gazeti la mwaka 2020?
Magazeti Haya yaliandikwa na watu wa CCMhivi hili gazeti bado liko barabarani..? bila shaka lilikuwa la Musiba au Mchange..
Nchi hii ngumu sana.
View attachment 2104148
Inawezekana kabisa watanzania waliotukanwa, kudhalilishwa, kusingiziwa, kubaghazwa na mengineyo mengi ndiyo wenye mapenzi ya dhati kwa taifa lao.
Ukweli unaweza kuchelewa tu, lakini ikifika muda wake, huibuka na kujisemea wenyewe.
Leo ni huyu dada lakini kuna siku tutajua faida ya LISSU katika Taifa hili. Ni muda tu.
Kwani Waingereza hawaajiriwi Tz?Hivi huyu mama mbona uraia wake vyanzo vingine vya habari vinasema ni Muingereza?
Mara paaap na magufuli akafa kweli na Musiba akatiwa hatiani kweli😂😂😂😂Huyu hapa.View attachment 2104157
Nchi yetu imekuwa ya abunuwas sana badala ya kufanya kazi tunafanya visa na mikasa Mungu atusaidieNchi hii ngumu sana.
View attachment 2104148
Inawezekana kabisa watanzania waliotukanwa, kudhalilishwa, kusingiziwa, kubaghazwa na mengineyo mengi ndiyo wenye mapenzi ya dhati kwa taifa lao.
Ukweli unaweza kuchelewa tu, lakini ikifika muda wake, huibuka na kujisemea wenyewe.
Leo ni huyu dada lakini kuna siku tutajua faida ya LISSU katika Taifa hili. Ni muda tu.
Kwani ndugu huyu dada si adui wa Taifa.? Kafikaje Ikulu.Huu Ujumbe kuhusu Lissu ufike pande zote
Maana kwa miaka ile enzi ya Jakaya kama kuna mwanaChadema ungemwambia eti ipo siku Dr Slaa atafanya kazi kwenye Serikali ya CCM basi angekupiga hata na mayai viza
Labda kipindi cha ukoloni tena pakiitwa Tanganyika.Kwani Waingereza hawaajiriwi Tz?
Umemaliza.. Slaaa dah basi tuHuu Ujumbe kuhusu Lissu ufike pande zote
Maana kwa miaka ile enzi ya Jakaya kama kuna mwanaChadema ungemwambia eti ipo siku Dr Slaa atafanya kazi kwenye Serikali ya CCM basi angekupiga hata na mayai viza
[emoji91][emoji91]
Tayari ameshatiwa hatiani, alikuwa sahihi maana rais ndiye top speaker of every thing in country, umeona kwa ndugai?.Magufuli kafa sasa