Waandishi wa Habari muwe na akiba ya maneno, kufurahisha watawala kutawadhalilisha

wivu huo!!!
punguzeni wivu mtapata magonjwa ya moyo buree.
aliyepewa kapewa........ tuache wivu.
Leo Wivu tena...!!! Ndio maana wenzenu wanawapa watu mwenye akili sio Makamasi yako unayotoa.
 
Huu Ujumbe kuhusu Lissu ufike pande zote

Maana kwa miaka ile enzi ya Jakaya kama kuna mwanaChadema ungemwambia eti ipo siku Dr Slaa atafanya kazi kwenye Serikali ya CCM basi angekupiga hata na mayai viza
 
Nchi yetu imekuwa ya abunuwas sana badala ya kufanya kazi tunafanya visa na mikasa Mungu atusaidie
 
Huu Ujumbe kuhusu Lissu ufike pande zote

Maana kwa miaka ile enzi ya Jakaya kama kuna mwanaChadema ungemwambia eti ipo siku Dr Slaa atafanya kazi kwenye Serikali ya CCM basi angekupiga hata na mayai viza
Kwani ndugu huyu dada si adui wa Taifa.? Kafikaje Ikulu.
 
Et nae anaamka asbh anawahi ikulu kwenda kusubiria mikeke na kuja live kutangaza ...kweli ccm kiboko wanaweza kukuaribu
 
Huu Ujumbe kuhusu Lissu ufike pande zote

Maana kwa miaka ile enzi ya Jakaya kama kuna mwanaChadema ungemwambia eti ipo siku Dr Slaa atafanya kazi kwenye Serikali ya CCM basi angekupiga hata na mayai viza
Umemaliza.. Slaaa dah basi tu
 
hii nchi sio ya kuhama, yaani kwamba wamepindua serikali nyingi duniani!!!
 
Hahhaha.. Hilo gazeti lijiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…