Nimesikiliza, dakika ya 1.37 to 1.47 unawaita TCRA ukisema "hawawezi", where are we, tuhamasishane tusisome twitter... Pascal ulipoiomba TCRA ukisema hawawezi, I have no speak of doubt kuwa ulimaanisha hawawezi kuiingilia kati katika haya yanayoendelea Twitter! Swali: Wanaingiliaje? the only option available to them ni kuiblock Twitter maana si rahisi kuzima card ambazo zitaonekana zina akaunti twitter!
Unajua fika kuwa wanaosoma twitter ni waelewa, very understanding people, kusema nitahamassha wasiingie twitter si kweli! Truly ulitafuta njia ya to awaken TCRA to do something about Twitter and the only irresistible conclusion to the action that can be taken by TCRA ni kuizima Twitter! Uliogopa kuweka wazi kuwa TCRA waifungie Twitter!
SEcondly unajua hali mbaya ya sheria ya magazeti, etc.....
soma link hiyo ambayo nimetoa excerpt hii chini
Govt tightens noose on social media
View attachment 1476445
Pasco uache usiyumbe,nakuheshimu Sana,nilianza kukufuatilia toka enzi za kitimoto.Naogopa usijepatwa na ya akina Johnbosco Barayagwiza.Nimesikiliza, dakika ya 1.37 to 1.47 unawaita TCRA ukisema "hawawezi", where are we, tuhamasishane tusisome twitter... Pascal ulipoiomba TCRA ukisema hawawezi, I have no speak of doubt kuwa ulimaanisha hawawezi kuiingilia kati katika haya yanayoendelea Twitter! Swali: Wanaingiliaje? the only option available to them ni kuiblock Twitter maana si rahisi kuzima card ambazo zitaonekana zina akaunti twitter!
Unajua fika kuwa wanaosoma twitter ni waelewa, very understanding people, kusema nitahamassha wasiingie twitter si kweli! Truly ulitafuta njia ya to awaken TCRA to do something about Twitter and the only irresistible conclusion to the action that can be taken by TCRA ni kuizima Twitter! Uliogopa kuweka wazi kuwa TCRA waifungie Twitter!
SEcondly unajua hali mbaya ya sheria ya magazeti, etc.....
soma link hiyo ambayo nimetoa excerpt hii chini
Govt tightens noose on social media
View attachment 1476445
Hakika.Pascal Mayalla umetonesha vidonda vya ndugu zetu. Wanajulikana waliowapoteza, watatajwa mbele ya Mungu kwenye ulinzi wa kweli!
Ukiwa mwandishi wa habari wa kawaida tuu au mtangazaji wa kawaida tuu ni kazi kama kazi nyingine zozote, lakini ukiwa ni mwandishi wa habari za uchunguzi au mtangazaji machachari unayehoji maswali magumu, kiukweli wasomaji wako na watazamaji wako watakusifu sana kwa kazi nzuri, ila majaaliwa ya maisha yako na familia yako ni ya mashaka sana na wengi huwa na mwisho mbaya ambao hauzungumziki!.
Duh...!. Mkuu Luther Tz, maneno makali sana haya!. Life is a struggle, survival is only for the fittest. We all struggle to survive, and not a desire to be an affluent, ningekuwa ni affluent seeker, ungeona kazi yangu ni kusifu tuu!. I'm not!.Ulinambia kwamba if you can not beat them, then join them. Lakini, mimi nadhani ni vema ukawa na msimamo wako binafsi. Mayalla, we have our morals, our values and principles. Government regimes may change but you need to stand by your values and principles. Do not join a nonsensical regime simply because you desire to become an affluent individual. Remain an upright person regardless of the regime.
Usimtukane mtu kisa ametoa maoni yake. Mtoa maoni yupo sawa wakati mwingine waandishi wa habari huwa wanatumika vibaya. Kumbuka mauaji ya Rwanda yalichochewa kiasi kikubwa na waandishi wa habari tena kupitia radio.Endelea kulea mimba hiyo wee mama..
Eti ukiwa fair..fair kwa nani? Kwa bwanako meko.
Jinga kabisa.
What is twitter by the way? Wacha ifungwe tu. Wamejaa watu wa hovyo ambao wanapost upuuzi kila mara, mmoja wao ni Ansbert Ngurumo.Duh...!. Mkuu Retired, unaamini kweli mimi nilitaka Twitter ifungwe?!.
Nisikilize
P
Mayalla, hivi kweli kichwani mwako una wasiwasi na waliompiga risasi Lissu?
Hivi kweli kichwani mwako una wasiwasi na waliompoteza Ben Saanane.
Kuwa angalau na huruma kwa hao wahanga wa miaka mitano ya Magufuli.
Mimi nakuomba basi acha kutoa kashfa kwa hao wahanga wa hii miaka mitano ya Magufuli. Kukaa kimya nako ni busara.
PWanabodi,
Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari.
Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao, ni ama tuombe Mungu atunusuru na dhahama hizo, ama...
Nakubaliana na weweUtawala huu usiruhusiwe kurudi madarakani ASILANI, hawa WATEKA NYARA ndio chanzo cha mkwamo wa KATIBA YA WANANCHI na utawala wa sheria kwa miaka dahali.
Mkuu Real Patriotist, hili ndio nimeliona leo, thanks for this na ushauri wako kuhusu kalamu, ila pia sometimes kalamu ukiichonga sana, inakuwa na ncha kali, hivyo inachoma, unaweza kuandika mambo makubwa, ukajikuta unawachoma wengine na sometimes hata kujihatarisha ukaishia kuchomwa wewe...Asante kwa appreciation mkuu Pasco.
Wewe ni mkristo nakukumbusha kidogo tu, mara zote Mungu anapotaka kumsaidia mwanadamu humuangalia ana nini wakati huo refer kwa Musa na wanaisraeli jangawani wakati wakihitaji maji na wakati wa kutaka kuvuka bahari ya Shamu. Ni fimbo ya Musa ndiyo iliyotumika na ndiyo kitu pekee alichokuwa nacho mkononi basi Mungu alibariki tu na kukipa uwezo wa kipekee kikatenda maajabu. Nami nakusisitiza Pasco wewe ni kalamu yako tu ambayo Mungu anaweza kuibariki ikatenda maajabu kwa taifa hili. Andika Pasco uwezo wako ni mkubwa sana, Mungu atazidi kukubariki.
Pole!.Pascal Mayalla umetonesha vidonda vya ndugu zetu. Wanajulikana waliowapoteza, watatajwa mbele ya Mungu kwenye ulinzi wa kweli!
Haya ngoja tusubirieUkija utawala mwingine ukawakamata watu kama wanne hivi kila kitu kitajulikana. mmoja ameshatajwa na Marekani.. huyo atawataja wote
Duh...!.Mtu yeyeto aliyeelimika na kustaarabika hawezi uwa mtu ili akamilike hii uleta Sana shaka juu ya elimu ya mtu.
Killing ufanywa na barbarian, uncivilized society.
Ukijua maana ya universe kila mmoja ni maiti mtarajiwa, Ingekuwa killing ni kinga ya kifo kina moi,Banda,bokasa,mobutu,nguema, Saddam, mobutu ,Abacha nk wangeishi.Lkn nao hawapo wamekimbiza upepo wameacha vyote duniani.Ukifika miaka ya 80 ndo utajua maisha ya dunia ni kuukimbiza upepo,unasumbukia nn.
Naunga mkono hojaNi kweli ulichoandika hapo kinasikitisha sana,hasa watu wanapokuwa wanatumia taaluma yao ili kutoa habari zenye ukweli ili kufichua madudu. Mfano umekumbusha Kifo Stan Katabalo ambae wakati anajitoa mhanga ili kuibua madudu kwa manufaa ya taifa letu. Ila pia nimefuatilia nyuzi nyingi za mikasa iliyompata mwandishi wa habari Josephat Isango(Rip) ilikuwa ni kipindi cha awamu ya nne. Yaani kipindi cha awamu ya Jakaya Kikwete.
Lakini kwa nia njema tu mtoa mada pamoja na kuwa kweli zipo tawala dhalimu ambazo huwa zinakandamiza waandishi wa habari. Lakini pia tusiangalie sarafu upande mmoja.Wapo waandishi wa habari ambao hutumia taaluma yao vibaya kwa manufaa ya kikundi flani au wanasiasa flani hivyo kupelekea kujikuta wanaingia kwenye matatizo na wenye mamlaka.
Nafikiri ni wazi.kabisa taaluma yenu inataka msiwe bias. Kama unaandika habari usiwe mtu wa kulalia upande mmoja ili kuepukana na kadhia zisizo za lazima. Naandika hivi sio kwamba nafurahia mabaya yawakute waandiahi wa habari. Bali wafanye kazi kwa maadili ili kuepuka ushabiki wa kisiasa ambao unaweza kuharibu kazi zao.
Pia kuhusu waandishi wa habari kutokuwa na weredi wa kuandika habari za masuala ya kisheria nakubaliana na wewe kabisa. Amepotea Azory Gwanda na Ben Saanane. Habari kubwa ni kulaumu watu wasiojulikana ambao moja kwa moja wanahusishwa na serikali. Lakini huwezi kuona mwandishi wa habari akimhoji mwanasheria yoyote kwamba kuna hatua gani ambazo zinaweza kuchukuliwa kisheria? Kama kweli serikali na vyombo vyake ina husika kwa nini wanahabari hawataki kwenda mahakamani na kuweka writ ya Habeas Corpus ili kama vyombo vya dola vina hawa watu viwalete toka huko waliko? Kuliko kuwa na malalamiko ambayo hata maswali yake yapo gizani tu.
Duh...!.Haya mambo yanasikitisha sana, kuna watu wanafurahia kutoa roho za wengine bila kuchoka, wala kuogopa, hatua mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
AMENMkuu paskali, bado tunakuhitaji sana kaka, please usitupe wosia katika kipindi hiki kigumu. Mwenye enzi Mungu akufunike kwa ulinzi wake kama alivyomfunika Mh. Tundu Lissu. Amen.
Wanabodi,
Ukiwa mwandishi wa habari wa kawaida tuu au mtangazaji wa kawaida tuu ni kazi kama kazi nyingine zozote, lakini ukiwa ni mwandishi wa habari za uchunguzi au mtangazaji machachari unayehoji maswali magumu, kiukweli wasomaji wako na watazamaji wako watakusifu sana kwa kazi nzuri, ila majaaliwa ya maisha yako na familia yako ni ya mashaka sana na wengi huwa na mwisho mbaya ambao hauzungumziki.
Hivyo wanabodi, tunaposifina humu kwa maswali magumu kama yale ya Ben Saanane, tusiishie kusifiana tuu humu bali tuangalie na hatma za maisha yetu na familia zetu, hivyo ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii tuu leo yake au sasa yake, bali wanaangalia mbali zaidi kwa kuangazia kesho yake kwa kuimagine, mfano mimi ndio ningekuwa Ben Saanane, au Azory Gwanda, what would become of my family left behind?!.
Hii inaitwa point blank, na the jf spirit, where we dare talk openly. Nimeipokea hoja yako, maneno yako japo ni makali, lakini ndio ukweli wenyewe, na mtu unapoambiwa ukweli, hata kama ukweli huo utakuuma vipi, inakubidi, uupokee na uukubali. Hivyo nimepokea na nimekubali.Shikamoo baba, Hata wewe pia unaweza ukawa mchambuzi Bora zaidi kuliko tunavyokutazama leo, ila kinachokuvunjia heshima ya taaluma yako na umahiri wako ni siasa na hasa kutaka kuwa kiongozi wa kisiasa badala ya kutumia ile nafasi ya utaalamu aliokupa Mungu.
Ukweli mkuu unaulewa wa Mambo mengi na tena pengine huenda ukawa mchambuzi Bora kuliko hata tunaowafikiria ila umeamua kujitwisha beseni la takataka kichwani na kutuonyesha kuwa wewe huna uelewa na Mambo, ukweli unaujua mwenyewe kwanini umeamua kuwa hivi ulivyo.
Mungu akusaidie uelewe na utambue karama na nafasi aliokupa Mungu uitumikie badala ya kuwa bendera fuata upepo.
Nisamehe sana maana kwa umri wako sikutakiwa niseme haya ila msema kweli ni mpenzi wa Mungu jaribu kujiangalia baba angu umevaa shati kwa kuligeuza alafu unatuambia upo sawa.