Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao, ni ama tuombe Mungu atunusuru na dhahama hizo, ama...

RIP Wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki na Mungu uwanusuru wale waliopotea bila sisi kujua hatma zao, na naamini kabisa bila shaka yoyote kuwa karma Itawashughulikia wahusika wa matukio hayo, huku sisi ambao bado tuko kwenye fani kiugumu ugumu, and we are still surviving, Mungu atajaalie moyo wa uvumilivu, ustahimilivu, na ufuatiliaji, tuwatembelee kujua majaaliwa ya familia zao.

Paskali
Je Mkuu wadhani Mungu halipi? Ama wadhani uhalifu au udhalimu unaolindwa na wanadamu huwa haulipwi? Sihitaji kukumbusha mengi ila jiweke kwenye familia za Azory Gwanda, Ben Saanane, na wengineo wengi ambao tunawajua na tusiowajua ambao walinyanyaswa na walinyanyasika huku 'media na raia wakitazama na wengine kushangilia madhila"
Mkuu Mwanamageuko , karibu pande hizi, ili ushuhudie utetezi wa haki, sikuanza leo!.
P.
 
Wanabodi,

Ukiwa mwandishi wa habari wa kawaida tuu au mtangazaji wa kawaida tuu ni kazi kama kazi nyingine zozote, lakini ukiwa ni mwandishi wa habari za uchunguzi au mtangazaji machachari unayehoji maswali magumu, kiukweli wasomaji wako na watazamaji wako watakusifu sana kwa kazi nzuri, ila majaaliwa ya maisha yako na familia yako ni ya mashaka sana na wengi huwa na mwisho mbaya ambao hauzungumziki.

Hivyo wanabodi, tunaposifina humu kwa maswali magumu kama yale ya Ben Saanane, tusiishie kusifiana tuu humu bali tuangalie na hatma za maisha yetu na familia zetu, hivyo ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii tuu leo yake au sasa yake, bali wanaangalia mbali zaidi kwa kuangazia kesho yake kwa kuimagine, mfano mimi ndio ningekuwa Ben Saanane, au Azory Gwanda, what would become of my family left behind?!.

Wandugu tuombeni sisi watu wa media tumalize salama vipindi vyetu na tuwe na hatma njema za maisha yetu na ikitokea yakakatishwa ghafla, kwa nguvu nyingine yoyote ambayo sio mipango ya Mungu, japo Mungu ataingilia kati kupitia kitu kinachoitwa karma, basi wale ambao ni rafiki zetu wa kweli wa kufa na kuzikana, tusiishie tuu pale kwenye mashada na risala za wasifu, bali angalau fuatilieni what real happened, japo karma always takes care of this, ila pia fuatilieni na majaaliwa ya familia zetu!.

RIP Wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki na Mungu uwanusuru wale waliopotea bila sisi kujua hatma zao, na naamini kabisa bila shaka yoyote kuwa karma Itawashughulikia wahusika wa matukio hayo, huku sisi ambao bado tuko kwenye fani kiugumu ugumu, and we are still surviving, Mungu atajaalie moyo wa uvumilivu, ustahimilivu, na ufuatiliaji, tuwatembelee kujua majaaliwa ya familia zao.

Paskali
Pascal Mayalla wewe ni brilliant sana. Mtu akuchukie akupende..you know your stuff. To that nasema hongera sana!

Lakini zikija mada ambazo zinamtaka mtu asimame upande fulani (unpopular positions) ahesabiwe, you simply run AWOL. Mimi nadhani at your age and level, be who you are. Say it as it is. Tulitegemea watu kama nyinyi ndo akina Jenerali wa kesho. watu wanaoweza kuchambua mambo kwa kina bila kujipendekeza kwa yeyote.

But it is unfortunate kwamba hata wewe, sometimes unaweka taaluma yako pembeni kutetea waliochafuka vya kutosha. the past five yours have revealed your true colors. Again, maybe siko fair kukulaumu maana, wengi tulikuwa kama wewe. WE were terrified na wasiojulikana. It was really terrifying.

Tujitahidi tujenge kizazi cha vijana wasio waoga. Vijana wathubutu. Pascal, wewe level yako siyo hata ya kuwazia kuwa DC au DED..you are way past that level bro. Don't sell yourself cheap (ingawa najua mwisho wa siku wote tunahitaji kula na kulipa bills). But please.....protect your credibility at any cost! You are better and you deserve better.

Hizi kazi za U-DC waachie akina Lijualikali and the likes...maana ni kazi ambazo hazihitaji creativity ya aina yoyote zaidi ya kuvaa suti isiyo na collar 🙂

Wasalaam,
Mkuu Masanja , kwanza asante na karibu pande hizi.
P.
 
Mkuu Masanja , kwanza asante na karibu pande hizi.
P.
Unachululijae utetezi wa huyu ASP Jumanne Malangahe
Cc Matola
20220111_200336.jpg
 
IJ ni sehemu ya Intelligence ya ya nchi, kwa nchi za wenzetu hawa ni watu muhimu ambao wanajitegemea nakuusaidia mfumo wa ulinzi wa nchi.Natamani nchi yetu ianze kuwatumia. Hawa IJ ni Golden boys, kuwatisha na kuwapoteza ni hasara kwa Taifa
 
His personality and appearance speaks louder than words!
Personality yake naona kama iko decent sana. (Kama ndio huyo alovaa barakoa.Ni mtu mzima flan mwenye hekima zake he cms tofaut na matendo yanayoelezwa kufanywa na yy)
 
IJ ni sehemu ya Intelligence ya ya nchi, kwa nchi za wenzetu hawa ni watu muhimu ambao wanajitegemea nakuusaidia mfumo wa ulinzi wa nchi.Natamani nchi yetu ianze kuwatumia. Hawa IJ ni Golden boys, kuwatisha na kuwapoteza ni hasara kwa Taifa
Whay is IJ mkuu, sorry..
 
Wanabodi,

Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari. Hivyo wanabodi, ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii tuu leo yake au sasa yake, bali wanaangalia mbali zaidi kwa kuangazia kesho yake kwa kuimagine, mfano mimi ndio ningekuwa Ben Saanane, au Azory Gwanda, what would become of my family left behind?!.
JF IIinyongwa na Magufuli na mlishangilia sana including you. Wewe ulibaki hai kiuandishi kwa sababu ulikuwa side ya opressor.
Mkuu kamili, hivi kweli mtu aliyeandika bandiko hili alishangilia ?.

P
 
Wanabodi,

Hivyo wanabodi, tunaposifina humu kwa maswali magumu kama yale ya Ben Saanane, tusiishie kusifiana tuu humu bali tuangalie na hatma za maisha yetu na familia zetu, hivyo ikitokea mtu aliyekuwa very critical on the status quo, ghafla akageuka na kuanza kuunga mkono juhudi, nawaombeni sana muwaelewe watu wa aina hii ambao hawaangalii tuu leo yake au sasa yake, bali wanaangalia mbali zaidi kwa kuangazia kesho yake kwa kuimagine, mfano mimi ndio ningekuwa Ben Saanane, au Azory Gwanda, what would become of my family left behind?!.

Wandugu tuombeni sisi watu wa media tumalize salama vipindi vyetu na tuwe na hatma njema za maisha yetu na ikitokea yakakatishwa ghafla, kwa nguvu nyingine yoyote ambayo sio mipango ya Mungu, japo Mungu ataingilia kati kupitia kitu kinachoitwa karma, basi wale ambao ni rafiki zetu wa kweli wa kufa na kuzikana, tusiishie tuu pale kwenye mashada na risala za wasifu, bali angalau fuatilieni what real happened, japo karma always takes care of this, ila pia fuatilieni na majaaliwa ya familia zetu!.

RIP Wanahabari wote waliotangulia mbele ya haki na Mungu uwanusuru wale waliopotea bila sisi kujua hatma zao, na naamini kabisa bila shaka yoyote kuwa karma Itawashughulikia wahusika wa matukio hayo, huku sisi ambao bado tuko kwenye fani kiugumu ugumu, and we are still surviving, Mungu atajaalie moyo wa uvumilivu, ustahimilivu, na ufuatiliaji, tuwatembelee kujua majaaliwa ya familia zao.

Paskali
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari Kwa media za Tanzania yetu.

Nawatakia uhuru wa habari mwema.
Paskali.
 
Hivi Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari tu au hata wapokeaji wa hiyo habari ?..

Hivi kuna sheria inayomruhusu mwandishi wa habar kulinda chanzo chake cha habari (kwa sababu za kiusalama) ? hasa habari za kiuchunguzi ?, Na iwapo mwanahabari atapokea vitisho (Kuna sheria inayomlinda akiwa kazini ) ?
Pascal Mayalla
 
Hivi Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari tu au hata wapokeaji wa hiyo habari ?..
Uhuru wa habari ni kwa waandishi wa habari na vyombo vya habari. Wapokeaji wa habari, pia wana sheria Yao na haki yao iitwayo Access to information Act, yaani sheria ya haki ya kupata habari.
Hivi kuna sheria inayomruhusu mwandishi wa habar kulinda chanzo chake cha habari (kwa sababu za kiusalama) ? hasa habari za kiuchunguzi ?,
Yes Mwandishi wa habari, ana haki ya kumlinda source wake wa habari, hii inaitwa "the confidentiality of the source", hivyo kwa kuanzia media inachapisha habari za uchunguzi Kwa kulinda jina la Mwandishi. Na media ikiandika too sensitive news, then Mhariri na Mwandishi, anakubali kwenda jela ili kumlinda source wake
Na iwapo mwanahabari atapokea vitisho (Kuna sheria inayomlinda akiwa kazini ) ?
Pascal Mayalla
Hakuna sheria specific ya kulinda waandishi dhidi ya vitisho kwa waandishi wa habari, bali vitisho kwa Mtanzania yoyote vinakuwa covered na vitisho vingine vyovyote.
P
 
Yes Mwandishi wa habari, ana haki ya kumlinda source wake wa habari, hii inaitwa "the confidentiality of the source", hivyo kwa kuanzia media inachapisha habari za uchunguzi Kwa kulinda jina la Mwandishi. Na media ikiandika too sensitive news, then Mhariri na Mwandishi, anakubali kwenda jela ili kumlinda source wake
Dah!...kazi ngumu na ya hatari sana hii, mnafanya kazi ya hatari sana kusema kweli, Mungu awalinde.
 
Back
Top Bottom