Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Dah!...kazi ngumu na ya hatari sana hii, mnafanya kazi ya hatari sana kusema kweli, Mungu awalinde.
Amen, asante, kiukweli waandishi wa habari wa Tanzania, tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana!, kipindi cha Corona ndio usiseme!, tumezika wenzetu zaidi ya 20 kimya kimya...
P
 
Tatizo lililopo ni kwamba nyinyi Waandishi wa Habari wengi wenu ni Mamluki, Mapandikizi na Ndumila-kuwili, mpo kwenye tasnia ya Habari kama geresha tu, lakini hiyo siyo kazi yenu halisi inayowapatia vipato halali vya kuendesha maisha yrnu. Wengi wenu mnatumika na mpo kwenye payroll ya wale jamaa, Undercover Cops for dirty Jobs against the Critics and dissidents.
 
Duh...!, ukiisha kuwa na preconceived opinion, unakuwa judgmental huwezi kuwa objective. Wale jamaa zetu hiyo ndio kazi yao, hivyo hao watu wapo kila mahali, kama ulivyosema wengi wetu, lakini sio wote!, usituhukumu waandishi wote ni mamluki nikiwemo mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na ni mzalendo wa kweli wa taifa langu.

P
 
Mkuu Matrix19 , umenikumbusha uzi huu!.
P
 
Advocate Mayalla uligusia kama Kabendera,
Ila uligusia kwa tahadhari sana kumhofia Nzilankende.
Big Up, Atleast you tried.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…