GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?
Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.
Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.