GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Ur questions is an outdated and nonsense to him TL For instance quiz no four (4)
Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo.
Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?