Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Mbona maswali yenyewe mepesi kuliko hata ya yule dada wa ITV?? Lissu ndo ulitaka umuulize maswali ya kitoto hivyo?? [emoji23][emoji23][emoji23] Siku ukibahatika utajibiwa maswali yako vzr na utafundishwa na namna ya kuuuliza maswali ...lissu ni hbr nyingine ndg
Kama hilo namba 4 alishawahi kulijibu vyema kwenye kipindi cha mkasi na salama
 
Lissu ni noma, nilitamani ahojiwe masaa matatu.

Nina uhakika 'angehojiwa' na Bingwa wangu wa Kuuliza Maswali Aloyce Nyanda wa Star Tv huyu Lissu wenu asingekaa hata Nusu Saa tu angesusa.
 
Vijiswali vyako hapo juu vyote kauliza kasoro vitatu, kwanin ujione una IQ kubwa kuliko bidada wkt almost maswali yako yote kaauliza?
 
Mbona maswali yenyewe mepesi kuliko hata ya yule dada wa ITV?? Lissu ndo ulitaka umuulize maswali ya kitoto hivyo?? [emoji23][emoji23][emoji23] Siku ukibahatika utajibiwa maswali yako vzr na utafundishwa na namna ya kuuuliza maswali ...lissu ni hbr nyingine ndg

Wenye 'Akili' tu Kukuzidi hapa 'wameshanielewa' na 'kukubaliana' nami na ningeshangaa sana kama 'Juha Mwandamizi' Wewe usingejitokeza hapa.
 
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....

1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio lake moja kwa moja na Serikali na kamwe si Maadui zake wengine labda nje ya Siasa?
3. Je, ana Uadui wa Kisiasa tu au ana Chuki Binafsi dhidi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli?
4. Je, CHADEMA ya sasa ni Taasisi au ni ASASI tu yenye Umiliki wa Kudumu kutokea Mkoani Kilimanjaro aliko Muasisi wake?
5. Je, akishinda Urais ataendelea kubakia na Msimamo wa Rais Magufuli na CCM yake Serikali ihamie Dodoma au atautengua upesi?
6. Je, Watanzania wanahitaji Mabadiliko ya Katiba au Misingi ya Kimaadili yenye Utashi mwingi wa Kiuwajibikaji na Kiutendaji?
7. Je, ni kweli kwamba hulka ya Wapinzani wa Tanzania hasa wa CHADEMA ni Kupinga tu kila Kitu na hakuna Jema CCM imelifanya?

Kuwahoji Wanasiasa ni kama vile kuwepo na Kozi ya 'Kijeshi' ambapo ikimalizika tu halafu ikaonekana kuwa hakuna hata Majeruhi Mmoja au hata Waliokufa iwe isiwe itarudiwa tu kwani inaonyesha Kozi ilikuwa ni Legelege ( Utopolo ) tupu hivyo hata katika Tasnia unatakiwa unapomaliza 'Kumhoji' Mwanasiasa basi muda wote Jasho liwe linamtoka na mkimaliza awe yuko Hoi.

Laiti kungekuwa na uwezo wa 'Media' Kukodi Watangazaji wanaojua Kuhoji kwa Kuchokoza, Kuudhi na Kukera basi kuna Chombo Kimoja ningekishauri 'Kimkodishe' Mtangazaji ambaye nadiriki kusema kuwa kwa Tanzania hana 'Mpinzani' Kimaswali Ndugu Aloyce Nyanda wa Star Tv kwani kwa 'IQ' yake ilivyo Kubwa kuna Mtu leo angepandwa na Hasira na hata Kuchukia na Kutukana.
kujibu sentenso yako ya mwisho hapo juu, nikukumbushe kuwa hakuna TV interview ngumu (perhaps dunia nzima) kama ile ya BBC Hardtalk.

wacha tulinganishe high profile personalities katika siasa za Tanzania waliowahi kuhojiwa ana kwa ana na BBC Hardtalk... Tundu Lissu & Benjamin Mkapa.

wakati Lissu aliweza ku pass with flying colours kwa kujibu maswali kwa utulivu mkubwa hata alipokuwa provoked, Mkapa nusura arushe ngumi hewani!

weka kumbukumbu zako vizuri comrade!
 
Sisi Chadema tunatuma Maombi Maalum kwa Mgombea Urais wa CCM Mzee Daktari bingwa wa kemia duniani Bwana Magufuli Kukubali Kuwa na MDAHALO na Mgombea Urais Wa Chadema Kamanda Tundu Lissu ili Kushindanisha SERA na Mitazamo Yao kwa Nchi Yetu Live kwenye TV na Redio Zote za Duniani na Wananchi Wote Watasikiliza!:
Tena iwe kwa kimalkia, amin nakuapia kuna mtu ataangua kilio kama amepatwa na msiba!
 
Nina uhakika 'angehojiwa' na Bingwa wangu wa Kuuliza Maswali Aloyce Nyanda wa Star Tv huyu Lissu wenu asingekaa hata Nusu Saa tu angesusa.
Aloyce nyanda ?? Ambaye maswali yake yanajibika kiulahisi hata na viongozi wetu wa mikoa? Nyanda ?? Acheni utani bhana ..nyanda na Burendu Nani ana maswali yameenda shule?? Au kwa kuwa mmesoma naye darasa moja?? Hakuna nchi hii mwandishi wa habari wa kumtoa lissu jasho kwa maswali hata kwa kimombo , hakuna hakuna hakuna
 
Maswali mengine kwa MTU kwenyeMTU kwenye IQ kubwa kama ulioonyesha kutaka kumhoji awezi kukujibu maana ni UTOPOLO TU Mfano swali lako LA Nne

Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo. Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?
 
Wenye 'Akili' tu Kukuzidi hapa 'wameshanielewa' na 'kukubaliana' nami na ningeshangaa sana kama 'Juha Mwandamizi' Wewe usingejitokeza hapa.
Hakuna mwenye akili umjuae ww akauliza swali lissu ashindwe kujibu au kubabaika ...
 
Gentamycine, ukubali ukatae jamaa yuko vizuri upstair . Waweza kuwa unamchukia kwa sababu yupo Cdm , au.kwa sababu ni archrival wa Jpm . Lakini ukweli utabaki yuko vizuri .

Na ubovu huu unaouona kwa media zetu , ni kwa sababu serikali yetu inajaribu kufanya ma ki communist . Huko kwenye u communist hakuna uhuru wa kuhoji hivyo, bali kusifu na kutukuza. Na laiti Farhia angefunguka matangazo yangelikatwa kwa amri ya juu.

Nipo CCM na nitaendelea kuwa CCM na kila Siku huwa nasema hapa hapa bila 'Aibu' kuwa Tundu Lissu ni 'Genius' nashangaa umechelewa kulijua.
 
Nipo CCM na nitaendelea kuwa CCM na kila Siku huwa nasema hapa hapa bila 'Aibu' kuwa Tundu Lissu ni 'Genius' nashangaa umechelewa kulijua.
Kwa unafki ulionao unastahili siku zote za maisha yako kuwa mwanaccm.

Hatujasahu kama uliwahi kuleta ule uzi ukisema huyo unayemuita GENIUS amedanja
 
Ndo maana nikasema ni maswali ya kitoto ... Lissu ni habari nyingine ..amuulize Pascal ...

Back
Top Bottom