Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Kama hilo namba 4 alishawahi kulijibu vyema kwenye kipindi cha mkasi na salama
 
Lissu ni noma, nilitamani ahojiwe masaa matatu.

Nina uhakika 'angehojiwa' na Bingwa wangu wa Kuuliza Maswali Aloyce Nyanda wa Star Tv huyu Lissu wenu asingekaa hata Nusu Saa tu angesusa.
 
Vijiswali vyako hapo juu vyote kauliza kasoro vitatu, kwanin ujione una IQ kubwa kuliko bidada wkt almost maswali yako yote kaauliza?
 
Wenye 'Akili' tu Kukuzidi hapa 'wameshanielewa' na 'kukubaliana' nami na ningeshangaa sana kama 'Juha Mwandamizi' Wewe usingejitokeza hapa.
 
kujibu sentenso yako ya mwisho hapo juu, nikukumbushe kuwa hakuna TV interview ngumu (perhaps dunia nzima) kama ile ya BBC Hardtalk.

wacha tulinganishe high profile personalities katika siasa za Tanzania waliowahi kuhojiwa ana kwa ana na BBC Hardtalk... Tundu Lissu & Benjamin Mkapa.

wakati Lissu aliweza ku pass with flying colours kwa kujibu maswali kwa utulivu mkubwa hata alipokuwa provoked, Mkapa nusura arushe ngumi hewani!

weka kumbukumbu zako vizuri comrade!
 
Tena iwe kwa kimalkia, amin nakuapia kuna mtu ataangua kilio kama amepatwa na msiba!
 
Nina uhakika 'angehojiwa' na Bingwa wangu wa Kuuliza Maswali Aloyce Nyanda wa Star Tv huyu Lissu wenu asingekaa hata Nusu Saa tu angesusa.
Aloyce nyanda ?? Ambaye maswali yake yanajibika kiulahisi hata na viongozi wetu wa mikoa? Nyanda ?? Acheni utani bhana ..nyanda na Burendu Nani ana maswali yameenda shule?? Au kwa kuwa mmesoma naye darasa moja?? Hakuna nchi hii mwandishi wa habari wa kumtoa lissu jasho kwa maswali hata kwa kimombo , hakuna hakuna hakuna
 
Maswali mengine kwa MTU kwenyeMTU kwenye IQ kubwa kama ulioonyesha kutaka kumhoji awezi kukujibu maana ni UTOPOLO TU Mfano swali lako LA Nne

Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo. Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?
 
Wenye 'Akili' tu Kukuzidi hapa 'wameshanielewa' na 'kukubaliana' nami na ningeshangaa sana kama 'Juha Mwandamizi' Wewe usingejitokeza hapa.
Hakuna mwenye akili umjuae ww akauliza swali lissu ashindwe kujibu au kubabaika ...
 
Nipo CCM na nitaendelea kuwa CCM na kila Siku huwa nasema hapa hapa bila 'Aibu' kuwa Tundu Lissu ni 'Genius' nashangaa umechelewa kulijua.
 
Nipo CCM na nitaendelea kuwa CCM na kila Siku huwa nasema hapa hapa bila 'Aibu' kuwa Tundu Lissu ni 'Genius' nashangaa umechelewa kulijua.
Kwa unafki ulionao unastahili siku zote za maisha yako kuwa mwanaccm.

Hatujasahu kama uliwahi kuleta ule uzi ukisema huyo unayemuita GENIUS amedanja
 
Ndo maana nikasema ni maswali ya kitoto ... Lissu ni habari nyingine ..amuulize Pascal ...

Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo. Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…