GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Ur questions is an outdated and nonsense to him TL For instance quiz no four (4)
Vijiswali vyako hapo juu vyote kauliza kasoro vitatu, kwanin ujione una IQ kubwa kuliko bidada wkt almost maswali yako yote kaauliza?
Jana alipohoji juu ya "jeshi la akiba". Nilimuona kama mtu muangalifu na anayetaka sheria zifuatwe .Nipo CCM na nitaendelea kuwa CCM na kila Siku huwa nasema hapa hapa bila 'Aibu' kuwa Tundu Lissu ni 'Genius' nashangaa umechelewa kulijua.
Ni kwanini unautaka urais wa Tanzania? Majibu ya hilo swali unahisi yangetofautiana na swali lako la kwanza?Una uhakika kuwa haya Maswali yangu hapa yameulizwa na huyo Dada? Kwahiyo unataka kusema kuwa hiyo 'Interview' ulitizama peke yako tu au?
Aloyce nyanda ?? Ambaye maswali yake yanajibika kiulahisi hata na viongozi wetu wa mikoa? Nyanda ?? Acheni utani bhana ..nyanda na Burendu Nani ana maswali yameenda shule?? Au kwa kuwa mmesoma naye darasa moja?? Hakuna nchi hii mwandishi wa habari wa kumtoa lissu jasho kwa maswali hata kwa kimombo , hakuna hakuna hakuna
Swali lako la 7 kasikilize kuanzia dakika ya 11, kauliza chadema mmekuwa walalamikaji na wakosoaji tu? Kasikilize halafu uje unambie majibu ya lissu yangetotianaje na swali lako la 7?Una uhakika kuwa haya Maswali yangu hapa yameulizwa na huyo Dada? Kwahiyo unataka kusema kuwa hiyo 'Interview' ulitizama peke yako tu au?
Kwa unafki ulionao unastahili siku zote za maisha yako kuwa mwanaccm.
Hatujasahu kama uliwahi kuleta ule uzi ukisema huyo unayemuita GENIUS amedanja
Ni kwanini unautaka urais wa Tanzania? Majibu ya hilo swali unahisi yangetofautiana na swali lako la kwanza?
Swali lako la 7 kasikilize kuanzia dakika ya 11, kauliza chadema mmekuwa walalamikaji na wakosoaji tu? Kasikilize halafu uje unambie majibu ya lissu yangetotianaje na swali lako la 7?
Mmeshindwa kujaza uwanja wa Mkapa mtamuweza Lissu?Mikia FC
Wazungu mbona hawakatwi wanaongoza dunia pa kwenda..foolish idiotAngalia hii 'Uncircumcised Baboon' sijui imetokea wapi.
Swali lako la sita kasikilize kuanzia dakika 37, kaelezea vizuri suala la katiba na uwajibikaji, kasema kabisa hata Nyerere aliikosoa katiba na kuhofu juu ya kupata rais dikiteta uchwara ambaye wateule wake watashindwa kuwajibika kwa wananchi wala juu ya katiba, zaidi ya kuwajibika kwa mteuaji hata kama atalazimisha ufanyike ujinga!Una uhakika kuwa haya Maswali yangu hapa yameulizwa na huyo Dada? Kwahiyo unataka kusema kuwa hiyo 'Interview' ulitizama peke yako tu au?
We ni mlemavu wa akili huna unachokifahamu kwa akili yako finyu hilo swali la kwanza na hayo mengine unaamini Lissu angepata tabu kuyajibu?Kwani ni lazima Swali litakaloulizwa lifanane na Majibu yako ya 'dhania' na 'kukariri' uliyonayo Wewe Juha Mwandamizi? Ndiyo maana nawadharau.
Wazungu mbona hawakatwi wanaongoza dunia pa kwenda..foolish idiot
We ni mlemavu wa akili huna unachokifahamu kwa akili yako finyu hilo swali la kwanza na hayo mengine unaamini Lissu angepata tabu kuyajibu?
Swali lako la sita kasikilize kuanzia dakika 37, kaelezea vizuri suala la katiba na uwajibikaji, kasema kabisa hata Nyerere aliikosoa katiba na kuhofu juu ya kupata rais dikiteta uchwara ambaye wateule wake watashindwa kuwajibika kwa wananchi wala juu ya katiba, zaidi ya kuwajibika kwa mteuaji hata kama atalazimisha ufanyike ujinga!
Si mnawaambia wapiga kura kuwa atabomoa madaraja na barabara? Mnataka nini tena?Kweli kuna mambo mengi tunataka tuyajue kutoka kwa huyu jamaa..likiwemo la kuhamia dodoma, alipinga ujenzi wa barabara na madaraja, je akiingia atasitisha ujenzi?
Basi kwa Taarifa yako tu hakuna Swali ambalo ni la muhimu na limekaa 'Kiuchokozi' ili aweze Kulijibu kwa Hoja za Kulipangua na Kuliondoa Masikioni mwa Watu wengi kama hilo.
Na ni Swali ambalo kama angelijibu vyema basi huenda kuanzia leo hii dhana ya kwamba CHADEMA ni chama cha Kaskazini Kilimanjaro ingefutika rasmi. Nitafute kwa muda nikupe japo 'Basic Course' tu ya Kufanya 'Interviews' zenye 'Akili' sawa?