GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Asante sana, kuna watu hawafikirii
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.
Chanzo: Shaffih Dauda
Haya sasa wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums hebu upesi sana tu mjibuni huyu 'Genius' wangu wa Kihaya sawa?
Same to your Mother.An idiot is always busy with trivial issues
Umeshaona Myahudi anaogopa au anakimbia Vita? Sijaona wa Kupambana na Mimi hapa hata mkiwa / wakiwa 5000 na Mimi nikiwa Jeshi la Mtu Mmoja.Ameukimbia uziii