Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

Status
Not open for further replies.
Watu wanaenda kujilipua wakisema Allah Akbar au Takibiir bado unapandisha tu kanzu hapa jamvini
Allah Akbar au Takibiir hayo ni maneno tu kama Harmonize anavyovaa sare za jeshi lakini sio mjeda.
 
Allah Akbar au Takibiir hayo ni maneno tu kama Harmonize anavyovaa sare za jeshi lakini sio mjeda.
Una uhakika? Unajua maana ya hayo maneno na mazingira yanayotumika? Wanatumia wanapoenda kulipua

Then ukisikia wanaita JIHAD ujue ni vita vya kidini, wanaupigania uislam yakhee

Sheikh Said wa Morocco yeye ana ranch ya nguruwe kabisa.

View attachment 1749677
 
Sema mkuu umekuza sana hii kitu tofauti na mwandishi alivyokusudia. Hapo haijatajwa dini yoyote bali ni jina la mwizi na cheo chake.

Hivi mfano mwandishi akiandika "Mwalimu ampa mimba mwanafunzi" hapo anakuwa amedhalilisha taaluma yote ya ualimu?

Kikubwa zaidi niseme huyo Imam ndio apewe lawama kwakuwa alichokifanya sio sawa na mafundisho ya dini yake. Yeye ndio ameudhalilisha Uislam na sio mwandishi.
 
Ukitaka kuijua dini isome dini yenyewe na usiwaangalie wafuasi wa dini.
 

Attachments

  • VID-20210411-WA0082.mp4
    5.2 MB
Mkuu wewe ni kafiri?',
 
Wanaua kwa chuki zao binafsi tu na miongozo ya kishetani...
Jihad ni miongozo ya kishetani au ya kidini? Vita vya kuupigania uislam ili kupata thawabu kesho Akhera InshaAllah

Ua Makafir Ili upate thawabu yako peponi sheikh
 
Mkuu, sipendi kuona dini za wengine zinadhalilishwa kisa kosa la mtu mmoja tu.
Ndugu, una ajenda ya siri nyuma ya tukio hili!
Kwanini ulete tukio hili hapa Jukwaani?
Kwamba una huruma sana?
Kwanini uweke pia attachment ya hicho kipande cha gazeti ili tuone, why?
Umeulizwa hapo juu kuwa "wewe ni Kafiri?" Sijaona kama umejibu!
Wacha unafiki ndugu.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Umgeweza kufikisha ujumbe wako vizuri na ukaeleweka bila kujificha kwenye kichaka cha ukiristo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…