Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Imamu kaiba Nguruwe.Uislamu umetuhumiwa kila aina ya uhalifu tangu enzi hizo !! Na bado wataendelea huchafua jina na taswira... ili hali hakuna shida wala kutikisa unywele wa Musislamu...waendelee tu Imani za waislam zinakomaa!!
Tambua kwamba kuna vyeo /hadhi au taaluma ukiwa navyo huwezi kuvitenganisha na maisha yako binafsi.Alichokifanya hakina uhusiano wowote na kazi ya kuwa Imam. Je waisalm ni magaidi kwa kuwa Al Shabaab wanafanya ugaidi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imamu ameiba nguruwe au hajaiba???
Tuanzie hapo kwanza.
Sad indeed
Inasikitisha sana
Sad indeed
Mimi naona wewe ndiye unayeyakuza haya.Inasikitisha sana
Kilikuwa? Una uhakika gani hakuendelea kuwa imam?Kilikuwa!!!
Kabla ya mtu kufanya uhalifu, huwa anapanga kwanza mikakati kichwani mwake. Kitendo cha kupanga mikakati ovu kichwani tayari kinatosha kumvua mtu nafasi aliyonayo katika dini hata kabla hajatenda uovu husika.Tambua kwamba kuna vyeo /hadhi au taaluma ukiwa navyo huwezi kuvitenganisha na maisha yako binafsi.
Vile vile tambua katika tasnia ya habari sio Kila kitu ni habari /news. Kwamfano mbwa akiuma mtu hiyo sio news lakini mtu akiuma mbwa hiyo ni news.
Kwa habari uliyoileta ingekuwa nguruwe ameibwa na mtu mwingine wa kawaida na ambaye hana wadhifa huo wa kidini wala muandishi asingeripoti (nguruwe huwa wanaibwa kila siku mtaani)
Lakini imekuwa habari Kwasababu ya wadhifa wa mwizi kuwa imamu jambo ambalo halitegemewi ktk jamii
Kwanini waseme kaiba wakati mahakama haijamthibitisha?Imamu kaiba Nguruwe.
Huduma au kipawa alichoweka MUNGU ndani yako huwa haistasfu.Kabla ya mtu kufanya uhalifu, huwa anapanga kwanza mikakati kichwani mwake. Kitendo cha kupanga mikakati ovu kichwani tayari kinatosha kumvua mtu nafasi aliyonayo katika dini hata kabla hajatenda uovu husika.
Kitendo cha Imam mstaafu kupanga kuiba nguruwe kinamvua wadhifa ule hata kabla hajatenda tukio hilo la wizi. Alitenda tukio la wizi akiwa sio Imam tena kwa maana dini inakataza mtu wa hadhi yake kuwaza kutenda uovu wa namna ile.