Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

Status
Not open for further replies.
Alichokifanya hakina uhusiano wowote na kazi ya kuwa Imam. Je waisalm ni magaidi kwa kuwa Al Shabaab wanafanya ugaidi?
Tambua kwamba kuna vyeo /hadhi au taaluma ukiwa navyo huwezi kuvitenganisha na maisha yako binafsi.

Vile vile tambua katika tasnia ya habari sio Kila kitu ni habari /news. Kwamfano mbwa akiuma mtu hiyo sio news lakini mtu akiuma mbwa hiyo ni news.

Kwa habari uliyoileta ingekuwa nguruwe ameibwa na mtu mwingine wa kawaida na ambaye hana wadhifa huo wa kidini wala muandishi asingeripoti (nguruwe huwa wanaibwa kila siku mtaani)
Lakini imekuwa habari Kwasababu ya wadhifa wa mwizi kuwa imamu jambo ambalo halitegemewi ktk jamii
 
Kwa leo uzi wako hupo wrong, huwe hakimu,raisi,mbunge,waziri,dokta,mwenyeketi,prof,askari cheo chochote,mchungaji,sheikh ,baba,mama,mpaka mwananchi utaelewa kwa kosa lako.
 
Tambua kwamba kuna vyeo /hadhi au taaluma ukiwa navyo huwezi kuvitenganisha na maisha yako binafsi.

Vile vile tambua katika tasnia ya habari sio Kila kitu ni habari /news. Kwamfano mbwa akiuma mtu hiyo sio news lakini mtu akiuma mbwa hiyo ni news.

Kwa habari uliyoileta ingekuwa nguruwe ameibwa na mtu mwingine wa kawaida na ambaye hana wadhifa huo wa kidini wala muandishi asingeripoti (nguruwe huwa wanaibwa kila siku mtaani)
Lakini imekuwa habari Kwasababu ya wadhifa wa mwizi kuwa imamu jambo ambalo halitegemewi ktk jamii
Kabla ya mtu kufanya uhalifu, huwa anapanga kwanza mikakati kichwani mwake. Kitendo cha kupanga mikakati ovu kichwani tayari kinatosha kumvua mtu nafasi aliyonayo katika dini hata kabla hajatenda uovu husika.

Kitendo cha Imam mstaafu kupanga kuiba nguruwe kinamvua wadhifa ule hata kabla hajatenda tukio hilo la wizi. Alitenda tukio la wizi akiwa sio Imam tena kwa maana dini inakataza mtu wa hadhi yake kuwaza kutenda uovu wa namna ile.
 
Huduma au kipawa alichoweka MUNGU ndani yako huwa haistasfu.
Acha kutetea ujinga ili tu uonekane unawajali sana hao waislam.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom