Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

Walipaswa kung'atuka kwanza ndio wagombee
Kung'atuka wapi?
Kwa hiyo na wakulima waache kilimo au ufugaji ili wakagombee? cha muhimu ni kuwafundisha wananchi wengi wajue ukweli, wamdharau na kumbeza mtu anayetoa hoja zisizo na mantiki na zenye upendeleo au kuwagawa raia kwa sababu ya kukosa maadili na ukweli.
 
Punguza utoto dogo.
 
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Mkuu inamaana waandishi ambao ni pro-chadema ndiyo siyo wanafiki? Nadhani ni muhimu sana kuwa kila mmoja wetu tunaheshimu kile anachokiamini,na si kuona hayuko sahihi kwasababu anaamini kile ambacho wewe hukipendi au hukikubali.Inawezekana tunapigania uhuru wa fikra hapa jukwaani lakini sisi wenyewe hatujakombolewa.
 
Jikite kwenye mada , wakina nani ni waandishi pro Chadema , wako chombo gani cha habari ?
 
Punguza utoto dogo.
Nia ovu ya kum'goa muandishi wa habar Salumu Mwalimu kwa mgongo wa kujificha eti waandishi wa habari hawafai katika siasa imebainika ....

Lazima mueleze kinaga ubaga kwanini mmeanzisha mpango wa kumuengua muandishi wa habari huyo na kiongozi mahiri na mzoefu wa kushindwa Salumu Mwalimu kwenye nafasi yake ndani ya chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…