Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

Walipaswa kung'atuka kwanza ndio wagombee
Kung'atuka wapi?
Kwa hiyo na wakulima waache kilimo au ufugaji ili wakagombee? cha muhimu ni kuwafundisha wananchi wengi wajue ukweli, wamdharau na kumbeza mtu anayetoa hoja zisizo na mantiki na zenye upendeleo au kuwagawa raia kwa sababu ya kukosa maadili na ukweli.
 
si chadema? Au sio chombo cha watoa taarifa hili?

na hao wako wengine kwan wapo chombo gani na gani.....

Yaani mnataka kumtoa kamanda Salumu Mwalimu kwenye nafasi yake kwa mgongo wa uandishi wa habari, kweli? hii si sawa hata kudogo....
Sijaipenda hii.....

Waandishi wa habari mko kwenye vita kali sana jihadharini sana hasa kwenye chombo cha watoa taarifa hawa waliowalenga waziwazi
Punguza utoto dogo.
 
Kung'atuka wapi?
Kwa hiyo na wakulima waache kilimo au ufugaji ili wakagombee? cha muhimu ni kuwafundisha wananchi wengi wajue ukweli, wamdharau na kumbeza mtu anayetoa hoja zisizo na mantiki na zenye upendeleo au kuwagawa raia kwa sababu ya kukosa maadili na ukweli.
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Mkuu inamaana waandishi ambao ni pro-chadema ndiyo siyo wanafiki? Nadhani ni muhimu sana kuwa kila mmoja wetu tunaheshimu kile anachokiamini,na si kuona hayuko sahihi kwasababu anaamini kile ambacho wewe hukipendi au hukikubali.Inawezekana tunapigania uhuru wa fikra hapa jukwaani lakini sisi wenyewe hatujakombolewa.
 
Jikite kwenye mada , wakina nani ni waandishi pro Chadema , wako chombo gani cha habari ?
 
Punguza utoto dogo.
Nia ovu ya kum'goa muandishi wa habar Salumu Mwalimu kwa mgongo wa kujificha eti waandishi wa habari hawafai katika siasa imebainika ....

Lazima mueleze kinaga ubaga kwanini mmeanzisha mpango wa kumuengua muandishi wa habari huyo na kiongozi mahiri na mzoefu wa kushindwa Salumu Mwalimu kwenye nafasi yake ndani ya chama?
 
Back
Top Bottom