Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 waepukwe kama Ukoma, hawawezi kutenda haki

Kuna yule wa TBC , sijui Bwigane
 
Umerukwa na akili ?
ukizungumzia waandishi habari katika siasa huwezi kumruka Salumu Mwalimu hata kidogo....

Sasa wamekutuma uanze kumchokonoa Salumu Mwalimu kwa mgongo wa waandishi ulowataja.....

Nashauri huyo kijana hana shida na mtu, muelezeni tu kinagaubaga , kwamba ebanaee kiongozi fulani mathalani yule kibaraka au yule mlamba asali hakutaki tena kwenye nafasi hiyo....
Nakuhakikishia kijana ataachia ngazi bila tashwishwi yeyeote....

Sasa umeanzia mbali sana hata kwa ambao hawahisiki na chama chako Lakini lengo ni Salumu Mwalimu
 
Wee mshamba huna hoja , na tutawaanika bila huruma yoyote
 
Wee mshamba huna hoja , na tutawaanika bila huruma yoyote
Nafahamu mnamuona mshamba kijana wa watu, mnataka kumgoa Salumu Mwalimu bila huruma, hilo mbona liko wazi mkuu injinia wa kumg'oa relini Salumu Mwalimu.....

Sasa amekosea nini Lakini, eti king?
Au upole wake umemponza?
 
Siasa ni ajira. Kuna ubaya gani mtu akichagua njia itakayomfikisha nchi ya ahadi?

Kila mtu huchagua anapoona patakapo muhakikishia ushindi.

Watu wana familia na wanategemewa. Acha roho ya uchawi.
 
Siasa ni ajira. Kuna ubaya gani mtu akichagua njia itakayomfikisha nchi ya ahadi?

Kila mtu huchagua anapoona patakapo muhakikishia ushindi.

Watu wana familia na wanategemewa. Acha roho ya uchawi.
Shetani kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…