Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi utakuwa na mawazo mfu sana kama unadhani waandishi wote wa habari ni CCMJikite kwenye mada , wakina nani ni waandishi pro Chadema , wako chombo gani cha habari ?
Anaandika Makala kwenye Gazeti la MwananchiPascal Yuko chombo gani Cha habari
Kuna yule wa TBC , sijui BwiganeHii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA , chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania , kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi , waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za uchaguzi ule kwa upendeleo wa wazi kabisa , sijui taaluma yao inaeleza nini kuhusu jambo kama hili .
Naweza kuthibitisha Majina machache ya Waandishi hao Mamluki ambao waligombea ubunge kupitia CCM, Mmojawapo yumo humu JF akiitwa Pascal Mayalla, huyu aligombea jimbo la Kawe na kuambulia kitita cha kura moja ( Wajumbe noma ), Mwingine ambaye pia niliwahi kusoma naye mahali fulani, akiitwa Abdala Baruani , huyu aligombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia CCM na huku akijifanya kutenda haki kwenye utangazaji wake pale Azam media , huko anajulikana kama Baruani Muhuza, Sielewi sababu ya Vyombo vya habari vya Tanzania kuwaacha kazini watangazaji wao waliojinasbisha na CCM, huku vikijifanya kutenda haki .
Ni Muhimu sana kwa Chadema kuanzia sasa kuwatenga kabisa Waandishi wa Habari ambao wana vinasaba vya wazi na CCM, hawa ni wahujumu wa Demokrasia kwenye kitengo cha Upendeleo.
Nyongeza: Majina yote ya Waandishi wa Habari waliogombea Ubunge kupitia CCM 2020 na kuendelea kufanya kazi kwenye vyombo hivyo yataanikwa hapa hapa kwenye uzi , Erythrocyte au CIA anaendelea kuyachakata.
Umerukwa na akili ?unadhani utapindisha hilo lengo ovu ulilotumwa kumchafua na hatimae kumuengua Salumu Mwalimu kwenye nafasi yake......
Bado ni maripota hadi baada ya kugombea ubunge ?Ester Bulaya alipata ubunge kupitia Chadema akiwa mwandishi wa habari, Devota Ninja naye hivyohivyo.
Kusoma na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti.Umeishia darasa la ngapi ?
ukizungumzia waandishi habari katika siasa huwezi kumruka Salumu Mwalimu hata kidogo....Umerukwa na akili ?
Wee mshamba huna hoja , na tutawaanika bila huruma yoyoteukizungumzia waandishi habari katika siasa huwezi kumruka Salumu Mwalimu hata kidogo....
Sasa wamekutuma uanze kumchokonoa Salumu Mwalimu kwa mgongo wa waandishi ulowataja.....
Nashauri huyo kijana hana shida na mtu, muelezeni tu kinagaubaga , kwamba ebanaee kiongozi fulani mathalani yule kibaraka au yule mlamba asali hakutaki tena kwenye nafasi hiyo....
Nakuhakikishia kijana ataachia ngazi bila tashwishwi yeyeote....
Sasa umeanzia mbali sana hata kwa ambao hawahisiki na chama chako Lakini lengo ni Salumu Mwalimu
Nafahamu mnamuona mshamba kijana wa watu, mnataka kumgoa Salumu Mwalimu bila huruma, hilo mbona liko wazi mkuu injinia wa kumg'oa relini Salumu Mwalimu.....Wee mshamba huna hoja , na tutawaanika bila huruma yoyote
Shetani kaziniSiasa ni ajira. Kuna ubaya gani mtu akichagua njia itakayomfikisha nchi ya ahadi?
Kila mtu huchagua anapoona patakapo muhakikishia ushindi.
Watu wana familia na wanategemewa. Acha roho ya uchawi.