Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaa,yule ticha kumbe naye aliendaMpwayungu village
Kitenge anatumika Vibaya Naona zembwela naye kashaanza kuonja Asali. Bahati mbaya wote hamnazo hawajui kujenga hoja na elimu ya kuunga ungaYule zembwela na Maulid walienda Singapore na kuonesha Bandari ya Singapore inavyofanya kazi wiki mbili kabla ya hili saga nadhani nao wamo.
NdiyoAahaaaaa,yule ticha kumbe naye alienda
Heshima kitu cha bure, bila Mwanamke wewe ungezaliwa?. Heshimu wanawake wote!, ila pia wewe ni mbaguzi wa mfumo dume, ni ujinga tuu wa kudhania kuna vitu wanawake hawawezi, nitakupiga shule hadi kukutoa huo ujingaHATUTAKI KUONGOZWA NA MTU ANAYEVAA ... MAANA HAWANA UWEZO WOWOTE NA NI RAHISI KURUBUNIWA
WATANZANIA TUNA MADUDU VICHWANINa Bashir Yakub, WAKILI
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu
Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3.MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4.NANI AMELETA WAZO HILI.
Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia.
Tuna nini sisi vichwani.
Tatizo sio waarabu tatizo ni ccm hata tukiwatimua wataziuza kwa watu wengine.Waarabu wote warudi kwao Zanzibar
KabisaTatizo sio waarabu tatizo ni ccm hata tukiwatimua wataziuza kwa watu wengine.
Duh, Aisee!!In Short listi ni kubwa, watu wamepewa magari na nyumba, walipanda ndege first class kwenda Dubai na wamejengewa nyumba sehemu za Dar na mikoani kutokana na takwa la mtu;
Wamepewa fedha, wana baraka za kufanya hivyo; Madalali wamejikita kwenye ku-push age
Hiyo list ukitaka ingia kwenye pages zao, utaona wanavyopush hii agenda ya MANGUNGO WA MSOVERA.
Massive credits to this guru! I like objective thinking and thinkers!
Kuanzia leo tuwe na line up Madalali wa bandari zetu: Tuwatafute tuwapate tuwatafune wanyonya damu hawa
1. Prof Mbarawa
2. Msukuma
3.Muswando
4----
5---
6---
7---
8---
9----
10---
Balile bhana!Na Bashir Yakub, WAKILI
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu
Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3.MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4.NANI AMELETA WAZO HILI.
Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia.
Tuna nini sisi vichwani.
Hizi chokochoko zilishindwa. Uwekezaji ukiwa mkubwa lazima uambatane na maumivu kwa baadhi ya wanaozoea kula pale bandarini.Na Bashir Yakub, WAKILI

Umiliki wetu upo pale pale hakuna wa kuweza kuchukua bandari yetu, tatizo ni roho za maskini zinazochanganyika na upungufu wa uelewa kuhusu kipi haswa kinachotarajiwa kufanyika.![]()
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Umeandika utumbo mtupu. Unafika muda wa Tanzania kuwa sehemu ya biashara pana za kidunia, haiwezi tena kujitenga kwa hofu ya kuibiwa.Kosa kubwa ni kuwa tuna raisi mwanamke,kiuhalisia wanawake wengi wanapenda sana utegemezi,wao jambo likiwa na changamoto kidogo tu ni wepesi wa kukimbia kutafuta msaada,Si ajabu mama zetu wanakopa kwenye vikoba na sehemu zingine kutatua changamoto za mavazi,kitchen party,kusuka nywele n.k wanawake hawapendi kupambana na changamoto na ndio maana Mungu alisema wawe wasaidizi tu maana alijua uwezo wao,Dunia imebadilika wanaume tumekuwa wasaidizi,ona taifa linazidi kupotea.
Ttcl na bandari kumetokea changamoto mama amekuwa mwepesi kuachia,Dunia hii hakuna jambo lisilokuwa na changamoto na lazima kuzikabili na ukishinda ndipo unaonekana shujaa,mi nadhani serikali nayo inachangamoto basi ibinafsishwe kama ubinafsishaji ndo suluhu.
Mama anatakiwa atambua hakuna mwekezaji mwenye malengo ya kukuza uchumi wetu badala ya uchumi wao,mi nadhani hata wasomi wengi ni weupe kichwani,shuleni tunasoma kabisa nature and character of capitalists,Cha kushangaza wapo wanashangilia tu eti wawekezaji wa bandari watatupatia fedha nyingi 10% ndo fedha nyingi?.pole Tanganyika umekosa msimamizi