Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Mungu ameshakujibu kakupa risasi..wewe bado unaendelea kuomba tu.Risasi hapana
nataka dua
Mungu akupe nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ameshakujibu kakupa risasi..wewe bado unaendelea kuomba tu.Risasi hapana
nataka dua
umeona eeh, bora wakoloni wetu wa karne ya 14 warudi.Wewe utakuwa mjinga....
Wawekezaji wa migodini ni WAZUNGU....hawajatuangamiza?!!!
Aje mwarabu ,mzungu ,mchina ,mhindi mwekundu....tutakacho sisi ni MAENDELEO makubwa zaidi ya WIZI UENDELEAO TPA......
Wakili Bashir Yakub ana ajenda yake aijuayo.....Heshima kwenu wakuu Jaji Mfawidhi na OKW BOBAN SUNZU na bila kumsahau Author : Wakili msomi Bashir Yakubu. Nafarijika kuona bado kuna watanzania wanaoipenda nchi yao kama Wakili Msomi Bashir Yakubu kwani kwa bandiko hili yamkini wabunge wetu wakapata mwanga wa jinsi ya kutafakari hoja iliyoko mbele yao na kutoa maamuzi kwa manufaa ya taifa letu. Mkuu poisonous ambaye naamini (Nakupa benefit of Doubt) kwamba ni mzalendo kama mimi, je una nini chakusema juu ya hoja zilizowasilishwa na Wakili msomi Bashir?
Nawaomba Wakuu wangu waheshimiwa Wabunge kutafakari jambo lililopo mbele yao kwa manufaa ya Taifa la leo, la kesho na la Kesho kutwa
Ahsante
1. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
MAU-IDDI KANGA asihusishwe, wala yule mwenye VXalilopewa bure huko dwubai na kuliandika Daktari MSUKUMWA.
- Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
- Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
- Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
- Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
- Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
- Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
- Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
- Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
- Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
- Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
- Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
- Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
- Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
- Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
- Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
- Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu .
- Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
- Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
- Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3. MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
- Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
- Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
- Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
- Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
- Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
- Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
- Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4. NANI AMELETA WAZO HILI.
- Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
- Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
- Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
- Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
- Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
- Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
- Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
- Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia
CREDIT and appreciation to advocate BASHIR Y. [Wakili Msomi ]
Tuna nini sisi vichwani.
Kumpa mwandishi credit ni uzalendo!!Na Bashir Yakub, WAKILI
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu
Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3.MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4.NANI AMELETA WAZO HILI.
Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia.
Tuna nini sisi vichwani.
Kumbe upo??[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kucheka na kufurahia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Mtasaga meno
Kazi iendelee...
Kwanini bandari ya Zanzibar msiimpe mwarabu au hamtaki faidaNi waarabu wangapi wamekuja kuwekeza kuchimba MADINI ?!!!!
Wengi ni WAZUNGU....
Toka tupate uhuru....hadi alipokuja hayati JPM...nchi ilikuwa inapata "mrahaba"- dividend 3%....sasa sijui MASHIMO YETU yanayojaa maji amesababisha MWARABU ama MZUNGU?!!!
Ukimuona mtu anaongelea "racism" katika masuala ya uwekezaji....mbatize ubini....ZAMWAMWA ZAMWAMWA ZAMWAMWA [emoji1787][emoji1787]
Mwenye mawazo tofauti na raisi anabandikwa hoja ya ubaguzi,Raha yenu wote tuwe chawa wa mama kama ulivyo wewe?Imetengenezwa PROPAGANDA ya chuki dhidi ya mh.Rais SSH....wanajulikana walioko nyuma ya hayo.....ni ubaguzi tu....ni kukatwa tu "mirija " yao....kifupi si mapya.....
#SiempreJMT[emoji120]
Jambo hili nalifananisha na sakata la DOWANS ,kwa waliokua wamepevuka muda ule , LOWASA aliachia uwaziri mkuu kwa sababu ambazo ni very classfied na alibeba mzigo usio wake, ni kweli kimajukumu anahusika yaan lowasa lakini kiuhalisia hakua yeye.Heshima kwenu wakuu Jaji Mfawidhi na OKW BOBAN SUNZU na bila kumsahau Author : Wakili msomi Bashir Yakubu. Nafarijika kuona bado kuna watanzania wanaoipenda nchi yao kama Wakili Msomi Bashir Yakubu kwani kwa bandiko hili yamkini wabunge wetu wakapata mwanga wa jinsi ya kutafakari hoja iliyoko mbele yao na kutoa maamuzi kwa manufaa ya taifa letu. Mkuu poisonous ambaye naamini (Nakupa benefit of Doubt) kwamba ni mzalendo kama mimi, je una nini chakusema juu ya hoja zilizowasilishwa na Wakili msomi Bashir?
Nawaomba Wakuu wangu waheshimiwa Wabunge kutafakari jambo lililopo mbele yao kwa manufaa ya Taifa la leo, la kesho na la Kesho kutwa
Ahsante
je wewe uliyeandika haya ni nani kakudhamini uandike haya?Na Bashir Yakub, WAKILI
1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI.
Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio mtu huru huyu na si wa kutegemea katika maoni. Akili imeporwa na ndio kawaida ya mnyonyaji.
Mnyonyaji huwa hashughuliki na walio wengi, hushughulika na walio wachache lakini wenye sauti, na hapo huwa amemaliza dakika zake 90 za uwanjani.
Kaka yangu DEODATUS BALILE ni mwandishi ninayemheshimu sana. Bahati mbaya naye ameingia katika huu mtego. Tumsamehe huenda akarejea, Tour ya Dubai sio kitu cha kumuacha mtu salama.
Aliyewapeleka Dubai ndiye anayetaka kuwekeza na ndiye mwenyeji wao huko. Hivi mnadhani anaweza kuwatembeza maeneo yenye changamoto. Mnadhani anaweza kuwapa data maeneo aliyokwama. Mna akili nyinyi mnarudi hapa kutwambia eti mmeona msichana mdogo anabonyeza kompyuta kontena inajishusha yenyewe, nyie watu, nyie watu.
Nani kati yenu alienda Dubai na hadidu za rejea za maeneo maalum na akaomba na akaoneshwa vile inavyostahili. Naapa, mlichokiona kwa macho na kwa data ndicho mwekezaji alichopanga muone, si chini wala zaidi. Hakuna chenu mlichojipangia kuona mkaoneshwa labda kama kilikuwa chanya kwa mwekezaji.
Watanzania muwapuuze hawa si watu huru tena. Maoni yao yamehodhiwa na "DUBAI TOUR".
Mnyonyaji kabla ya kufanya hila lazima awapate baadhi ya waandishi wa habari, wanasiasa, na watu maarufu katika jamii. Kwahiyo msishangae hivi karibuni mtawaona , wasanii na watu wengine maarufu katika hili. Hii ndio ada ya mnyonyaji. Iko hivyo tangu miaka na mikaka.
Tuwaepuke madalali wa rasilimali zetu.
Yumkini tumewajua tuwakatae kwa nguvu zote. Watachagua kumrudishia mwekezaji posho zake au kutimiza walichomuahidi ambacho tunasema hakiwezekani.
2. NI KITU GANI AMBACHO HATUWEZI KUFANYA WENYEWE.
Ukisoma ule mkataba una mambo mengi lakini makubwa ni mawili tu, UBORESHAJI na UENDESHAJI. Tumeshindwa nini katika haya. Tumeshindwa kuboresha ama kuendesha.
Lipi ambalo tukiweka nia hatuwezi kulifanya. Hawa wadubai wana uwezo gani wa akili ambao hatuna. Ugonjwa wetu ni mmoja tu UVIVU.
Mtu mvivu atakuwa na shamba kubwa, anao uwezo wa kutafuta mbegu, madawa, akalima na akapata mazao na faida kubwa.
Lakini kwasababu hataki kujisumbua , hataki kusimamia, atakodisha shamba lile kwa mkataba ili yeye awe analetewa hela yake tu kila msimu bila usumbufu wowote.Huyu ndiye mtu mvivu.
Aliyekodisha shamba atalima, arapalilia, atapata usumbufu,atapata mazao, atauza , atapata hela ya kutosha, kisha amlipe mwenye shamba 10% ya mkataba yeye achukue 90%.
Mtu mvivu hataki kusimamia, mtu mvivu hataki kupambana na changamoto, mtu mvivu hataki kuumiza akili,mtu mvivu sio mbunifu,mtu mvivu yuko tayari apate kidogo sana lakini ambacho kimekuja kwa ulaini kabisa. Uvivu ni ugonjwa lakini yafaa uwe Jinai pia.
Kama sisi tumeshindwa kuendesha bandari anayekuja ataendeshaje. Atatumia malaika kuendesha ?. Tunachoacha kufanya ndio hichohicho anakuja kufanya. Ndio, tunaacha kuendesha anakuja kuendesha. Wao wana vichwa vingapi, wana akili ngapi wana nini kitu maalum ambacho hatuna.UVIVU tu
Kama teknolojia, basi hii inauzwa. Tuingie kandarasi tupatiwe teknolojia ya kisasa. Ufanisi hauwezi kuja haraka lakini tukiweka malengo tunafika. Mwekezaji mwenyewe haleti manufaa hapohapo naye atakupa malengo, atakwambia baada ya miaka kadhaa ya mkataba ndio mambo yataanza kuwa mazuri.
Malengo tunayokwepa kuweka ndiyo hayohayo anayoweka tunayempa bandari. Shida yetu ni nini. Akili yetu huwa tunaweka wapi.
Tunasumbuliwa na madalali, tufanye kila njia tuwaepuke.
3.MWEKEZAJI ANA MIGOGORO YA BANDARI KILA SEHEMU DUNIANI.
Huyu huyu Mwekezaji DP World ana migogoro ya kimkataba karibia kila sehemu duniani katika mahakama ya Kimataifa ya Migogoro ya Uwekezaji ICSID.
Ana mgogoro wa Bandari na Brazil wa mwaka 2014.
Ana mgogoro na Uruguay wa mwaka 2016.
Ana mgogoro Argentina wa Mwaka 2018.
Ana mgogoro na Pdkistan wa Mwaka 2020 nk ,nk.
Migogoro yote hii ipo ICSID na yote ni mikataba ya bandari. Nani kamleta huku kwetu tena. Nini mnataka na huyu mwekezaji.
Hatujamaliza hata maumivu ya mkataba wa TICTS mnakuja na hiki kidudu mtu tena. Hatutakubali.
4.NANI AMELETA WAZO HILI.
Bila shaka sio Tanzania ni mwekezaji mwenyewe. Hakuna shaka sio wazo letu ni la mwekezaji. Aliyechumbia ni niwekezaji na tunacheza ngoma yake. Kwahiyo viongozi hamna haja ya kushupaza sana misuli ili kuonekana mna maono saaaana, hamna kitu, halijawahi kuwa wazo lenu hili. Sio wazo lenu.
Na ushahidi ni kuwa, kawaida wazo lingeanzia kwetu tungetangaza Tenda wakajitokeza washindani ambaye angeshinda angeingia mkataba.
Hamshangai jambo hili halina tenda!!!, Ni kwasababu mwenyewe amekuja na wazo lake mija kwa moja na hivyo huwezi kumshindanisha.
Nataka kusema nini hapa, huyu amekuja kutafuta oppurtunity na si kuisaidia Tanzania. Amekuja kutafuta ukwasi. Naona viongozi wengi mnaongea kana kwamba sasa ndio wakati wa kufaidika,huyu mtu ni mzuri sana, ataisaidia nchi, atainua uchumi, ataleta maendeleo, ajira zitamwagika nk.
Hamjifunzi tuu, ni mwekezaji gani tokea mmeanza kuwapokea wawekezaji, kuanzia wale wa migodini nk. amewahi kuwafikisha katika hayo. Ni yupi tangu sera za Mkapa za Ubinafsishaji ziingie.
Mwekezaji ni mfanyabiashara anaangalia faida yake period.
Ni hivi, hakuna mwekezaji anaweza kuendeleza nchi yako. Mtu pekee wa kuendeleza nchi yako ni wewe mwenyewe. Umeshindwa wewe na nchi imeshindwa, umefanikiwa wewe na nchi imefanikiwa.
Tuache UVIVU tusimamie bandari yetu. Bandari inahitaji usimamizi tu na si vinginevyo, na mwekezaji hatafanya kingine chochote zaidi ya kusimamia.
Tuna nini sisi vichwani.
Nasubiria listHili la awaandishi kuhonhwa kuteyea DP World sina mashaka nalo katika vitu nisivyo kuwa na mashaka navyo ni hili la kuhonga Waandishi.
Kwa staili ya Waandishi na Watangazaji walioko Tanzania kwa sasa kuwahonga ni sawa na kusukuma mlevi, tuna levo ya Watangazaji na Waandishi ambao ni weupe mno vichwani wanao jua tpic za Yanga na Simba na Maada za kufumaniana tu, Watangazaji levo ya Wakina Maulid Kitenge unategemea nini?
Sasa ni bora tukapata Orodha yao walio alikwa kutembelea Dubai make tukisha wajua walio enda Dubai basi kazi imekuwa imeisha ya kujua walio hongwa na DP ili tuweka kumbukumbu sawa.
Ndio maana hakuna Media House hata moja inalipa kipaumbele hili swala la Bandari na laiti kusingekuwepo na Social Media hasa Jamii forum tusingekua lolote lile.
paschal Mayala