Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Hili jambo la rc linanipa tabu sana, nguvu kubwa inayotumika inatia shaka. Lkn pia najiuliza mbona hakuna wadau anayejitokeza kusema kasoma na Makonda au Bashite?, je hawa watu walisoma peke yao tena angani?, je walimu wao washakufa wote?, mbona hawajitokezi? au tuseme hawako ktk dunia ya mitandao?.
 
Jamani! Jamani! Hii itakuwa ni Tume ya kwanza na ya aina yake kuwahi kuundwa duniani kote. Tujiandae kuwekwa Guiness book of Records. Tume inaundwa na mtuhumiwa mwenyewe, kwenda kuchunguza tuhuma dhidi yake yeye mwenyewe! Kwa kuhoji watu alioandaa yeye mwenyewe!! Ni Tanzania pekee!!!!!
si alisema hawezi kujibu mambo ya mitandaoni,
 
Baada ya ziara ataweka vyeti hadharani ili askofu feki apate fedheha ya kutosha, chezea makonda wewee
 
Pia jiulize huyo Paul Christian anayesemekana vyeti vyake vimetumiwa na Bashite mbona hatujamuona au hata ndugu zake kueleza alipo? Hadithi yenu imekosa mashiko
kaka yupo anaogopa kujitokeza, inawezekana alishapigwa beat, yupo tabora ni mtangazaji wa redio 1, anajua akijitokeza bado vibano vitawageuka wote wa2
 
Ukiona hivyo ujue hizo story ni za kutunga tu mkuu.
Gwajima alisema ataweka cheti na kuleta wazee mpaka leo kimya.
Mwanahalisi lilisema limekwenda kuzungumza na wazee na kijijini,mpaka leo hawajaja na habari yoyote ya maana zaidi ya kuweka kichwa kingine ndani unakuta habari nyingine.
Hao wanaoicheza santuri ya Makonda hawajui wanachotaka,wengi ni bendera fuata upepo.Anachofanya Makonda ni kuwaumiza kisaikolojia tu na kuwaudhi na wao wanajua kama Makonda anawaudhi
alikamatwa kabla ya j2 na akaombwa asifanye hivyo, hukumbuki
 
Ili kuokoa muda na kuwafanya hao waandishi wa habar kuendelea na majukumu mengine n kuweka vyeti tu.
 
akuwekee cheti mezani kwani wewe ndie bosi wake?weka chako kwanza mezani
Njaa itakuponza ww! Kifupi mimi nimesoma Azania Sec O' mpaka A' level mwaka naujua mwenyewe na baadaye UDSM leo ukiniuliza Walimu wa pale Azania kuanzia Mchwampaka, Christian, Kwayu (Head Master), Matrey, Sanga, Amrani,na yule Refa aliyekula mpunga wa Azam waifunge Yanga, Primus, na Wanafunzi Sebastian Ndege, Bob Leo, Chief wengine wengi. Sasa muulize Bashite Akutajie angalau Walimu wanne wa shule anakodai alisoma kama hajaanza kupiga yowe la kilio kama mtoto anayelilia ziwa la mama yake
 
Njaa itakuponza ww! Kifupi mimi nimesoma Azania Sec O' mpaka A' level mwaka naujua mwenyewe na baadaye UDSM leo ukiniuliza Walimu wa pale Azania kuanzia Mchwampaka, Christian, Kwayu, Matrey, Sanga, Amrani,na yule Refa aliyekula mpunga wa Azam waifunge Yanga, Primus, na Wanafunzi Sebastian Ndege, Bob Leo, Chief wengine wengi. Sasa muulize Bashite Akutajie angalau Walimu wanne wa shule anakodai alisoma kama hajaanza kupiga yowe la kilio kama mtoto anayelilia ziwa la mama yake
Ndio matatizo ya kujificha kwenye ID feki haya huwezi kamwe kuaminika.Kutaja orodha ya waalimu hukumaanishi kuwa umesoma Azania,je kama ulikuwa unakwenda tuition?Kama huwezi kuweka cheti chako huna haki ya kumwambia mwenzako aweke cheti
 
Ndio matatizo ya kujificha kwenye ID feki haya huwezi kamwe kuaminika.Kutaja orodha ya waalimu hukumaanishi kuwa umesoma Azania,je kama ulikuwa unakwenda tuition?Kama huwezi kuweka cheti chako huna haki ya kumwambia mwenzako aweke cheti
Hebu niulize chochote kuhusiana na maeneo niliyoyataja (Azania - UDSM) kuanzia Walimu/Wanafunzi na vituko vyao mpaka majina ya utani na kama kuna watu walipita huko watakubaliana na mimi. Unakuwa mbulula kama Bashite mwambie hapa ni cheti tu hana jinsi!
 
Ndio matatizo ya kujificha kwenye ID feki haya huwezi kamwe kuaminika.Kutaja orodha ya waalimu hukumaanishi kuwa umesoma Azania,je kama ulikuwa unakwenda tuition?Kama huwezi kuweka cheti chako huna haki ya kumwambia mwenzako aweke cheti
Mbona na wewe una ID fake na sijakuuliza chochote? Nakuomba ulete hoja yoyote kwa yale niliyoyaeleza ila mwambie Bashite HOJA haifungwi bila kuweka Gamba hadharani! Mbulula weeee!
 
Si ndio atakuwa m-bashite 1000%! itakuwa approach ya enzi za Yesu! sasa yataibuka makubwa zaidi tusiyoyajua
 
Ahaaa naona anavyowapa maneno ya kusema. Ahaaaa tutayajua yote tena hapa pamba sekondari mashosti wangu wanafundisha paleee bashite bora nyamaza

ningekuwa wewe naonesha vyeti bila kuharibu pesa na safari za ajabu,

kumbe kubana matumizi kwisha habari yape?

Naona magufuri pole pole soon atakaa kimya.

Waandishi kumi? Mmmmh? Anatumia nguvu sana kuliko akili.
 
Hivi Daudi kuna ugumu gani wewe kufungua kabati na kutuonesha cheti mpaka utume watu 10 kijijini kwenda kukusanya habari?
 
Back
Top Bottom