ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Namuona brother Gwaj akitoka nduki.......spidi tenka chogo mkuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe sasahivi ukienda kuomba kazi mahali huna haja yakuonyesha vyeti bali unaenda na video zako zikionyesha watu waliohojiwa wakikushuhudia kwamba wewe ulimaliza form four shule fulani na hukupata div. zero
Acha matusi dogo... Sasa mbona unayemtetea anataka kuandaa video na audio kutoka koromije ili ajitetee...wewe povu la nini? Mshauri aoneshe vyeti vyake kwa waziri wake badala ya kupeleka waandishi koromije... Acha akili za kutaga.Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Akaanza kulia...Haya majungu aliyaanza yeye,hakuna aliyekuwa anawaza kuhusu yeye,aliowapiga majungu wakapiga counter attack
akuwekee cheti mezani kwani wewe ndie bosi wake?weka chako kwanza mezaniKifupi mwambie aweke cheti mezani aache maneno mengi mdomoni
Tutulie vipi kwani kuonyesha cheti inachukua dakika ngapi? Mbona yy anakuwa mwepesi wa kutupia upuuzi wake kwenye mitandao kwa muda mfupiTulieni c mnataka ukweli
mie nilijua ataonyesha vyetiVyeti vingewekwa mezani tungemalizana leo leo!!
ChaaaaKiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.
Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.
Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.
Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.
Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Subiri Jumapili uone tena kilio cha BashiteNamuona brother Gwaj akitoka nduki.......spidi tenka chogo mkuki
Cheti hana sabb ya kuzungusha!, ka kwara cheti cha mtu kaendelea mbele tena kimkanda2, bila ya sitta na Riz isingewezekana maana ana maneno mengi mdomoni lakini shule sifuri, neno "Petroleum" anaandika "Petrolium"aonyeshe vyeti tu, nini kutumia kodi zetu, waliosoma nae wapo, anajua kila kitu, kama walimu washapozwa, weka vyeti kama kigwangala na nchemba maisha yasonge mbele
Watanzania wa leo tumejanjaluka hatudanganyikiNdiyo maana yake! sijui anamdanganya nani anatufanya sisi kama mambulula fulani
Inaelekea Taifa lishatishwa na kila mmoja wet ana woga fulani!!
Hivi kweli katika watu million 50 amekosekana hata moja tu wa kuweka ushahidi walau attendance list ya wanafunzi waliosoma Koromije primary au Pamba secondary ili kutuonyesha mwanafunzi aliyesoma pale aliitwa Daudi badala ya Paulo na kwamba Paulo hakuwepo kwenye hayo madarasa!!?
wanatuona watz mabwege kama wao, waende wakatengeneze documentary, kwani kuna ugumu gani kuweka vyetiYaani kuonesha vyeti tuu imekuwa kazi kubwa kuliko kupeleka lundo Kolomije??
Anyways, namshauri aunde timu ya watu wa maana ambao wanajua conspiracy kwa hali ya juu maana Watu walishaenda huko na kufanya mahojiano. So tuna majibu. Wakitaka kutudanganya, watudanganye vizuri asee.