Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije



Na mm nakuuliza hv huyu Paul makonda kinachomshinda Kutoka hadharani na vyeti vyake ni nn??? Au hata kusema tu haya yanayoendelea si kweli ukweli ni huu hapa.

Kinachomhangaisha kupeleka waandishi wa habari huko kote na kuwaandalia watu wa kuwahoji ni nn hasa...wakati hili jambo inaweza kulimaliza kwa dk tano tu.

Mkuu wangu mtu wa kumaliza ili jambo ni Makonda mwenyewe na si mwingine...Silence means admission by Rungwe.
 
Huyu anatuchezea,kageuza kasha kuwa mtaji wa kisiasa kufikia anapo pataka,,,bunge lifanye kazi yake.
 
Kumbe sasahivi ukienda kuomba kazi mahali huna haja yakuonyesha vyeti bali unaenda na video zako zikionyesha watu waliohojiwa wakikushuhudia kwamba wewe ulimaliza form four shule fulani na hukupata div. zero
Huku ni kucheza na kodi zetu
 
Katika hali ya kawaida, mtuhumiwa anawezaje kuandaa watu wa kumchunguza na wale watakaotoa taarifa zinazomhusu !!!!
 
Umesema ni tetesi lakini hili jambo lilikua dogo sana na la dakika chache tu...kutoa vyeti mezani wote mkae kimya basi...
 
endapo katika safari hyo atatokea mwandishi hata mmoja na kueka namba halisi ya cheti au mwaka aliosoma bash nazan atasaidia saaana maana ili ushtaki NECTA inahitajika vielelezo kama hivyo.
Hakuna!!!!! Kwa nini acheze na kodi zetu? Kwanini?
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Duh! Hapo sasa naamini kuwa tuhuma hizo ni za kweli.
Nilitegemea yeye angetoa ruksa kwa wachunguzi kwenda huko incof=gnito na kumhoji yeyote ambaye wangeona anahitakika kuhojiwa kulingana na jinsi ujuzi wao unavyohitaji.

Sasa hili la mtuhumiwa kujitengenezea orodha ya wahojiwa hata mtoto mdogo hawezi kushindwa kubaini uboya uliomo ndani.
 

Mwanahalisi walileta kipi kibaya?? naona kama ilimsafisha hujagundua tu
 
Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.

Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Watakuwa washapewa script....
 
Hivi kwani kuweka vyeti wazi kunahitaji nguvu kiasi gani kulinganisha na huo mzunguko wote anaoufanya?

Hao mashahidi wenyewe si ajabu wamenunuliwa... Aweke vyeti aache mbwembwe... Eboo!
 
Nshaelewa basi alifoji kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Gwajima naye anaandaa namna ya kuiboresha taarifa yake patachimbika Bashite wa kweli atajulikana tu!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kwani kuweka vyeti wazi kunahitaji nguvu kiasi gani kulinganisha na huo mzunguko wote anaoufanya?

Hao mashahidi wenyewe si ajabu wamenunuliwa... Aweke vyeti aache mbwembwe... Eboo!

Kama anazushiwa amefoji vyeti, kwa jinsi anavyopenda makuu angeshawakamata wote wanaomsema. Eti anatafuta watu wa kumsaidia, anazama peke yake!
 
Pesa zetu za kodi ndio zinaenda kufanyia huu upuuzi.

Huyu jamaa hajui kuwa hakuzaliwa kuwa RC.

Atahangaika sana ila ukweli utabaki palepale.

Ni Aibu kwa RC kutumia cheti cha kugushi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…