Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea Taifa lishatishwa na kila mmoja wet ana woga fulani!!
Hivi kweli katika watu million 50 amekosekana hata moja tu wa kuweka ushahidi walau attendance list ya wanafunzi waliosoma Koromije primary au Pamba secondary ili kutuonyesha mwanafunzi aliyesoma pale aliitwa Daudi badala ya Paulo na kwamba Paulo hakuwepo kwenye hayo madarasa!!?
Huku ni kucheza na kodi zetuKumbe sasahivi ukienda kuomba kazi mahali huna haja yakuonyesha vyeti bali unaenda na video zako zikionyesha watu waliohojiwa wakikushuhudia kwamba wewe ulimaliza form four shule fulani na hukupata div. zero
Hakuna!!!!! Kwa nini acheze na kodi zetu? Kwanini?endapo katika safari hyo atatokea mwandishi hata mmoja na kueka namba halisi ya cheti au mwaka aliosoma bash nazan atasaidia saaana maana ili ushtaki NECTA inahitajika vielelezo kama hivyo.
Duh! Hapo sasa naamini kuwa tuhuma hizo ni za kweli.Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.
Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
Waandishi wa habari wa MwanaHalisi walishatuletea ripoti,hii inayoanza kupikwa sasa ni upuuzi tu.
Haiingii akilini kabisa,inachukua nini kuonesha vyeti kama kweli anavyo?
Kweli badala yake unaandaa timu ya kwenda kuhoji 'watu' wake?
Huyu anazidi kudhihirisha tuhuma zinazomkabili ni kweli.
Watakuwa washapewa script....Hakika huyu ni mwana kipenzi wa mfalme.
Kwahiyo ameandaa list ya watu wa kwenda kuhojiwa.
Na watu hao 'wameshajiandaa' kuhojiwa.
Hawa watu waache kutufanyia maigizo,huu ni upotevu wa rasilimali.
We ni mke wake? Unajuaje kama hazimsumbui?Hazimsumbui hizo kelele
Hivi kwani kuweka vyeti wazi kunahitaji nguvu kiasi gani kulinganisha na huo mzunguko wote anaoufanya?
Hao mashahidi wenyewe si ajabu wamenunuliwa... Aweke vyeti aache mbwembwe... Eboo!
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.
Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.
Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.
Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.
Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Kwa sab anaendelea na kazi kama kawaida.We ni mke wake? Unajuaje kama hazimsumbui?
Kwani yeye ana shida gani? Hujaona kusikia amefanya sherehe live?Angeweka vyeti mezani yaishe.
Itakuwa vizuriGwajima naye anaandaa namna ya kuiboresha taarifa yake patachimbika Bashite wa kweli atajulikana tu!!!!!!!!!!!!