Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Kumbe sasahivi ukienda kuomba kazi mahali huna haja yakuonyesha vyeti bali unaenda na video zako zikionyesha watu waliohojiwa wakikushuhudia kwamba wewe ulimaliza form four shule fulani na hukupata div. zero

MKUU hapo umetisha.😀😀😀
 
Naomba nipendekeze waandishi.

1.saed kubenea
2.manyerere Jackson
3.edo Kumwembe
4.maulid kitenge
5.masoud kipanya
6.jenerary ulimwengu
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Acha matusi dogo... Sasa mbona unayemtetea anataka kuandaa video na audio kutoka koromije ili ajitetee...wewe povu la nini? Mshauri aoneshe vyeti vyake kwa waziri wake badala ya kupeleka waandishi koromije... Acha akili za kutaga.
 
Tanzania ya michezo hii ilikuw zaman,yan watu wanataka vyet ww unaenda kuwapanga watu ili uedit historia,umeshachelew hakuna mtanzania mjinga hivyo kipind hik tena huu utakuw ni ujinga wa kiwango cha lami
 
aonyeshe vyeti tu, nini kutumia kodi zetu, waliosoma nae wapo, anajua kila kitu, kama walimu washapozwa, weka vyeti kama kigwangala na nchemba maisha yasonge mbele
 
Chaaaa
Yote ya nini haya,Mbona kutoa Vyeti ni Rahisi sana.
 
aonyeshe vyeti tu, nini kutumia kodi zetu, waliosoma nae wapo, anajua kila kitu, kama walimu washapozwa, weka vyeti kama kigwangala na nchemba maisha yasonge mbele
Cheti hana sabb ya kuzungusha!, ka kwara cheti cha mtu kaendelea mbele tena kimkanda2, bila ya sitta na Riz isingewezekana maana ana maneno mengi mdomoni lakini shule sifuri, neno "Petroleum" anaandika "Petrolium"
 
mwambie atatukuta sisi tupo na tutamuumbua ko bora alete vyeti tuu kama anataka usingizi mnono maana siku hizi naskia anakeshaa
 
Hao waandaishi wa habari wawe makini sana,wajifunze kama yaliyowakuta waandishi wa TBC kuleta habari za majungu za kumlisha maneno Trump.Hao waandishi watambue kuwa kwa sasa dunia ni kama kijiji,wataumbuka tu.Dunia kwa sasa haidanganywi.
 
 
NECTA wakiweka taaluma yao mfukoni, Hapo ndipo DAUDI BASHITE atafanikiwa kwenye nia yake hii ovu.

Otherwise itakuwa ni ngumu sana BASHITE kuchomoka kwenye hili!
 
wanatuona watz mabwege kama wao, waende wakatengeneze documentary, kwani kuna ugumu gani kuweka vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…