Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Kutumia ml.100 kupeleka watu Koromije na Mwanza na kutumia dk 5 kuonyesha vyeti kipi ni rahisi ?
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Nyeusi ni nyeusi tu haiwezi na haitawai kuwa nyeupe.....
 
Akupe vyeti kwani we nani had I ujue division au GPA za watu. Anayepaswa kujua performance za mwajiliwa ni mwajili wake!! Mbona nyie wapumbavu kiasi hicho.
Sisi ndo walipa kodi,mshahara wake unatokana na mifuko yetu, kwa hiyo tuna haki ya kujua status za Wateule wote
 
Hivi nyie ni nani na mmetokea wapi mpaka mnahoji mambo yanayo mhusu mkuu wa mkoa. Uwezo na madaraka hayo mmeyatoa wapi? Wote nyie ya wazekana ni wauza unga, mafisadi, mliojawa chuki, husuda, wivu nk. Mmetokea wapi?

Mara sauti ikasikika ikitokea nyikani ikisema, "sisi ni wapiga kura, ndio wapiga kura, tuliomchagua aliyekuteau na kukuweka hapo ulipo sasa. Na hachoki kutushukuru kwa kumchagua kila apandapo jukwaani katika ziara zake, iweje wewe unatudharauu, na kutusingizia kuuza madawa ya kulevya"?

Na washawasha!
Vyeti vyeti vyeti! !!!! Kaka mnazingua
 
Hahaaaaaa ukikusanya wote waliopata zero atapatikana wa kwanza na wa mwisho miongoni mwao. Sasa Bashite ndo anaburuza mkia kati ya waliofeli. Sasa maamuzi gani haya? Au unataka kutuchekesha wtz?
Udc wenyewe aliupata kwa kuwapiga wazee na kukufunga viatu vya mtoto wa mfalme wa enzi hizo.
Labda ile aliyoisea Sugu bungeni ndo inambeba sana maana wanasema inasoko sana. Na watu wakubwa hupenda sana kufumua hizo nyuzi
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Source ya hizi taarifa? Maana kuonyesha vyeti is just a matter of one minute why watumwe waandishi?
 
Hapo ndipo atauwasha moto.....bora angekaa kimya,sasa anawavuta watu wamchimbe haswa
Watanzania mnachimbaga hata pasipochimbika, ili hali mpoteze mda wenu bila matumaini wa manufa katika maisha yenu. Lakini mkiambiwa tumieni huo muda kukiendeleza na kafanya kazi hamtaki.

Wandugu tunapenda sana majungu.
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Yaani mi nashangaa sana anataka umma ukubaliane na watu waliopangwa kuhojiwa ili wamtetee?? Tunajua anafadhaliwa na GSM na sijui kwa agenda ipi sasa wamempa pesa ahonge wanakijiji ili ionekane kama ni kweli sio. Kwanza kwa asivyo na aibu anawapeleka kijiji kile kile KOROMIJE si inaonekana kabisa ni mpango kazi wa kumsafisha. Yeye cha msingi angeita wanahabari kama alivyo hodari akatoa vyeti yangekwisha full stop! waandishe wa habari waende mwanza, koromije looh fedheha sana hii!! Puuuuuuuu!
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Hivi gharama ya kupeleka watu mwanza na kutoa vyeti ipi ipo chini? Amezidi ku prive yeye ni kilaza asa..
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Wala haitajikita kutuma mtu kolomije toa vyeti2 unaendelea na mambo mengine. Hakuna haja hata ya taarifa kwa umma.
 
Source ya hizi taarifa? Maana kuonyesha vyeti is just a matter of one minute why watumwe waandishi?
Ndio mimi nashangaa kwa nini atumie gharama zote hizo ili iweje na hatuwezi kumuelewa kabisa kabisa!! Ki ukweli hii nchi imenichooosha natamani nifumbe macho nitokezee Brunei tu
 
Watanzania mnachimbaga hata pasipochimbika, ili hali mpoteze mda wenu bila matumaini wa manufa katika maisha yenu. Lakini mkiambiwa tumieni huo muda kukiendeleza na kafanya kazi hamtaki.

Wandugu tunapenda sana majungu.
Haya majungu aliyaanza yeye,hakuna aliyekuwa anawaza kuhusu yeye,aliowapiga majungu wakapiga counter attack
 
Call me j, aka bashite aka daudi anazunguka sana. Weka vyeti. Wizi wa majina mwisho call me j.
 
Kwa nini hayo yote? kama ana hivyo vyeti si avionyeshe tu?
Na hiyo timu inatumia pesa yake ya mfukoni au kodi yetu?
 
Pia jiulize huyo Paul Christian anayesemekana vyeti vyake vimetumiwa na Bashite mbona hatujamuona au hata ndugu zake kueleza alipo? Hadithi yenu imekosa mashiko
Akili yako ipo kwenye makalio,hivi kwa akili yako Bashite ataruhusu huyo mtu alalamike si yupo tayari kumpa chochote ili atulie,na hii hali jamaa kama ameambiwa chukua hichi ukae kimya ataonge,cha pili kuna watu primitive kabisa anasikia lkn anaogopa kujitokeza na akijua jamaa anavyowaweka watu ndani.
 
Hivi nyie ni nani na mmetokea wapi mpaka mnahoji mambo yanayo mhusu mkuu wa mkoa. Uwezo na madaraka hayo mmeyatoa wapi? Wote nyie ya wazekana ni wauza unga, mafisadi, mliojawa chuki, husuda, wivu nk. Mmetokea wapi?

Mara sauti ikasikika ikitokea nyikani ikisema, "sisi ni wapiga kura, ndio wapiga kura, tuliomchagua aliyekuteau na kukuweka hapo ulipo sasa. Na hachoki kutushukuru kwa kumchagua kila apandapo jukwaani katika ziara zake, iweje wewe unatudharauu, na kutusingizia kuuza madawa ya kulevya"?

Na washawasha!
Na wewe ni kihiyo gani unae support MTU asie na sifa kukuongoza inaonekana wewe hujasoma,sisi tunataka kama ana vyeti aweke mambo sawa maisha yaendelee,kama hana aachie ngazi
 
Back
Top Bottom