wa marangu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 259
- 407
Endelea kuwaza kwa kutumia makalioMawakala wa shetani wameshaanza kuweweseka, utetezi wao wa kijinga wa udini wameshaona unazidiwa nguvu na kundi kubwa la werevu wanaojitambua.
Kesho lazima shetani na mawakala wake wapigwe mawe mpaka waanguke, hatuwezi kuacha tujione tunapelekwa shimoni na kiongozi mjinga asiyejitambua, halafu tuanze kusikiliza utetezi wa kijinga ili kumlinda, Never.
Chongolo,silaa na wasira mbona nao wako arushaHii mikutano na ndio mana magufuli aliikataza. Vijana wa hovyo sana
Sisi ni chawa wazalendo! Tunafanya kazi za chama chetu cha mapinduzi kwa kujitoleaFaida ya visenti kdg inakutoa kwenye uzalendo kwa taifa lako??
Huwa huna akili,Si uliona hilo gaidi mbowe lilivyo onewa huruma na mwenyekiti wetu wa CCM, sasa hivi lingekuea limehukumiwa kunyongwa shenzi zake.
Hilo gaidi lenu ndiyo lina akili ya kuua watu tu? Mkome kabisa. Na kesho limkutano lenu linabuma hakuna wa kuja kusikiliza ujingaHuwa huna akili,
Nakupa🖕Mawakala wa shetani wameshaanza kuweweseka, utetezi wao wa kijinga wa udini wameshaona unazidiwa nguvu na kundi kubwa la werevu wanaojitambua.
Kesho lazima shetani na mawakala wake wapigwe mawe mpaka waanguke, hatuwezi kuacha tujione tunapelekwa shimoni na kiongozi mjinga asiyejitambua, halafu tuanze kusikiliza utetezi wa kijinga ili kumlinda, Never.
Kwa siku za karibuni magazeti na BAADHI ya media zetu zimekua zikileta ushabiki wa kindezi kwenye mambo ya msingi ambayo ni ya kitaifa.Huo unaweza kuwa mkakati maalum wa kuzuia mkutano.
Lakini kama mambo yatakwenda hivi, sasa tunaingia kwenye hatua mpya kabisa ya kufanya mambo baina yetu.
Hiyo ndio motive behind, huu mchezo ulitumika sana wakati wa JK, naona mbinu zile zile zinaanza kujirudia.Upo sahihi kabisa. Hawa wanataka kutengeneza mazingira ionekane kuna viashiria vya vurugu, halafu waseme kuna taarifa za kiintelijensia.
Polisi ni sehemu ya hiyo michezo ya kihalifu dhidi ya wapinzani.Tunategemea viongozi wa chadema watoe tamko Na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili wakamatwe wahusika
Huo sasa ushamba kwanini upige watu wakati wewe mwenyewe umeruhusu mikutano ya hadhara.
Hivi walitegemea CDM itakuwa inafanya mikutano ya kusifia mama anaupiga mwingi sijui kuleta maridhiano na kumtukana Magufuli muda wote.
Mikutano ya hadhara ilizuiwa kwa sababu maalum watu wafanye kazi badala ya kupoteza muda kujibu hoja za kutunga wao wakaleta ujuaji.
Sasa vipi tena CCM inaanza ugaidi, asubuhi inasemekana waliwavamia vijana wa CDM na kuwajurehi baadhi; kwa vyovyote mtu aliejeruhiwa sehemu ya mkutano wao yeye ndio victim ajabu kijana wa CDM alieumizwa kafwata hospitali alipokuwa anapewa matibabu na kupelekwa polisi.
Unapoamua kuruhusu mikutano ya hadhara kuwa tayari na kupokea mashambulizi ya hoja sio kuanza fujo tena.
Magufuli hakuwa mjinga kila hatua zake zilikuwa na sababu za msingi; wapuuzi nyie huko CCM.
Ccm sio chama cha siasa, sema unafanya kazi za chama cha vyombo vya dola. Huwezi kujitolea kwenye chama cha majizi, sana sana unafaidika na huo wizi.Sisi ni chawa wazalendo! Tunafanya kazi za chama chetu cha mapinduzi kwa kujitolea
Nimekuelewa.Kwa siku za karibuni magazeti na BAADHI ya media zetu zimekua zikileta ushabiki wa kindezi kwenye mambo ya msingi ambayo ni ya kitaifa.
Inaweza ikawa wanafanya hivyo kwa kuamua au kuna affiliation na wanaowatuma.
Ni jambo la hatari sana pale media zinapojitoa akili na ku provoke mijadala ya msingi ya Kitaifa na kuegemea upande fulani.
Hakuna aliyejuu ya sheria ila consequence ya media house kushindwa kumaintain neutrality ita wa cost.
Kilichotokea ni a wake up call kwa baadhi ya waandishi na media house zao, wao wenyewe ndio wanajua nini kimefanya wafanyiwe fujo.
Sisi ndiyo wenye nchi bila CCM hakuna Tanzania. CCM imejaa wazalendo na chini ya Dkt Samia ni imara zaidi.Ccm sio chama cha siasa, sema unafanya kazi za chama cha vyombo vya dola. Huwezi kujitolea kwenye chama cha majizi, sana sana unafaidika na huo wizi.