Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

Mawakala wa shetani wameshaanza kuweweseka, utetezi wao wa kijinga wa udini wameshaona unazidiwa nguvu na kundi kubwa la werevu wanaojitambua.

Kesho lazima shetani na mawakala wake wapigwe mawe mpaka waanguke, hatuwezi kuacha tujione tunapelekwa shimoni na kiongozi mjinga asiyejitambua, halafu tuanze kusikiliza utetezi wa kijinga ili kumlinda, Never.
Endelea kuwaza kwa kutumia makalio
 
Magufuli alimwaga sumu Kali Sana kwa watanganyika,Raisi anayekuja na vijimaslahi vyake hakika Cha Moto wanakiona
 
Mawakala wa shetani wameshaanza kuweweseka, utetezi wao wa kijinga wa udini wameshaona unazidiwa nguvu na kundi kubwa la werevu wanaojitambua.

Kesho lazima shetani na mawakala wake wapigwe mawe mpaka waanguke, hatuwezi kuacha tujione tunapelekwa shimoni na kiongozi mjinga asiyejitambua, halafu tuanze kusikiliza utetezi wa kijinga ili kumlinda, Never.
Nakupa🖕
 
Huo unaweza kuwa mkakati maalum wa kuzuia mkutano.

Lakini kama mambo yatakwenda hivi, sasa tunaingia kwenye hatua mpya kabisa ya kufanya mambo baina yetu.
Kwa siku za karibuni magazeti na BAADHI ya media zetu zimekua zikileta ushabiki wa kindezi kwenye mambo ya msingi ambayo ni ya kitaifa.

Inaweza ikawa wanafanya hivyo kwa kuamua au kuna affiliation na wanaowatuma.

Ni jambo la hatari sana pale media zinapojitoa akili na ku provoke mijadala ya msingi ya Kitaifa na kuegemea upande fulani.

Hakuna aliyejuu ya sheria ila consequence ya media house kushindwa kumaintain neutrality ita wa cost.

Kilichotokea ni a wake up call kwa baadhi ya waandishi na media house zao, wao wenyewe ndio wanajua nini kimefanya wafanyiwe fujo.
 
Upo sahihi kabisa. Hawa wanataka kutengeneza mazingira ionekane kuna viashiria vya vurugu, halafu waseme kuna taarifa za kiintelijensia.
Hiyo ndio motive behind, huu mchezo ulitumika sana wakati wa JK, naona mbinu zile zile zinaanza kujirudia.
 
Tunategemea viongozi wa chadema watoe tamko Na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama ili wakamatwe wahusika
Polisi ni sehemu ya hiyo michezo ya kihalifu dhidi ya wapinzani.
 
Huo sasa ushamba kwanini upige watu wakati wewe mwenyewe umeruhusu mikutano ya hadhara.

Hivi walitegemea CDM itakuwa inafanya mikutano ya kusifia mama anaupiga mwingi sijui kuleta maridhiano na kumtukana Magufuli muda wote.

Mikutano ya hadhara ilizuiwa kwa sababu maalum watu wafanye kazi badala ya kupoteza muda kujibu hoja za kutunga wao wakaleta ujuaji.

Sasa vipi tena CCM inaanza ugaidi, asubuhi inasemekana waliwavamia vijana wa CDM na kuwajurehi baadhi; kwa vyovyote mtu aliejeruhiwa sehemu ya mkutano wao yeye ndio victim ajabu kijana wa CDM alieumizwa kafwata hospitali alipokuwa anapewa matibabu na kupelekwa polisi.

Unapoamua kuruhusu mikutano ya hadhara kuwa tayari na kupokea mashambulizi ya hoja sio kuanza fujo tena.

Magufuli hakuwa mjinga kila hatua zake zilikuwa na sababu za msingi; wapuuzi nyie huko CCM.

Magufuli alizuia mikutano akaishia kupora uchaguzi. Hiyo ni hali ya kawaida, unapofikia mwisho kimvuto. Ccm watatumia mbinu zote ovu kupambana na upinzani, lakini wakati ukuta. Mwisho wako ukifika umefika tu.

Ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinapata shida kwenye kutawala, na kinaendelea kubaki madarakani kwa shuruti.
 
They want to avoid another sinking oceangate submarine.
 
Sisi ni chawa wazalendo! Tunafanya kazi za chama chetu cha mapinduzi kwa kujitolea
Ccm sio chama cha siasa, sema unafanya kazi za chama cha vyombo vya dola. Huwezi kujitolea kwenye chama cha majizi, sana sana unafaidika na huo wizi.
 
Kwa siku za karibuni magazeti na BAADHI ya media zetu zimekua zikileta ushabiki wa kindezi kwenye mambo ya msingi ambayo ni ya kitaifa.

Inaweza ikawa wanafanya hivyo kwa kuamua au kuna affiliation na wanaowatuma.

Ni jambo la hatari sana pale media zinapojitoa akili na ku provoke mijadala ya msingi ya Kitaifa na kuegemea upande fulani.

Hakuna aliyejuu ya sheria ila consequence ya media house kushindwa kumaintain neutrality ita wa cost.

Kilichotokea ni a wake up call kwa baadhi ya waandishi na media house zao, wao wenyewe ndio wanajua nini kimefanya wafanyiwe fujo.
Nimekuelewa.

Huu unaweza kuwa mwanzo wa hali ngumu itakayoiandama nchi hii.

Kuna wakati tuliwahi kuelekea huko, ikawa bahati bahati, tukanusurika. Sasa ngoja tuone safari hii itakuwaje.
 
Ccm sio chama cha siasa, sema unafanya kazi za chama cha vyombo vya dola. Huwezi kujitolea kwenye chama cha majizi, sana sana unafaidika na huo wizi.
Sisi ndiyo wenye nchi bila CCM hakuna Tanzania. CCM imejaa wazalendo na chini ya Dkt Samia ni imara zaidi.
 
Back
Top Bottom