Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Sasa analia nini yeye akiitwa Zeru zeruzeru,si ndiyo uhalisia wenyewe?Simba ndio waliomfundisha Manara kuwa na kidomo domo, akiwa huko kazi yake kubwa ilikuwa ni kudhihaki timu na watu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa analia nini yeye akiitwa Zeru zeruzeru,si ndiyo uhalisia wenyewe?Simba ndio waliomfundisha Manara kuwa na kidomo domo, akiwa huko kazi yake kubwa ilikuwa ni kudhihaki timu na watu...
Mkuki kwa nguruwe,halafu ni mwepesi sana wa kukasirika,na sasa itabidi tuanze kumwita Albino maana Zeru zeru linamkera kwakuwa ni kiswahili pengineSasa wewe unadhani mleta mada ndio analia? Anayelia ni huyo waliye mkebehi kuwa zeruzeru kwa vile anakebehi wengine. Kama unasisitiza aendelee basi aache kulia lia kuomba huruma
Yeye ndiyo analia umeona Simba wanahangaika nae,wao wanamwita kwa uhalisia wake ni Zeru Zeru hiyo ni fact.Yanga waliweza kuvumilia mambo ya Haji Kwa miaka mingi, Sasa Simba ni wakatiwao kuvumilia.
Yule dj kutoka ubelgiji luc eymael aliwahi kusema yanga wote ni manyani, uneducated, mambwa mnabweka bweka hovyoNa rage alituambia nyie makolo ni mbumbumbu