Subiri makanjanja wakurupukeeeHivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu?
Pasco anaweza, kwa kuwa walau alikuwa na ubavu wa kumuhoji maswali JPM maswali mazito katika wakati ambao hakuna ambaye angejaribu.
Kikeke? Yuko anazindua infrastructure bond.
Jacton Manyerere? Alipewa fursa na JPM aulize swali akaishia kuomba mwaliko wa kunywa wiski ikulu.
Ayoub Rioba? Bado ana chakula mdomoni, hawezi kuongea kwa sasa!
Kati ya kitu anachojutia mzee wetu pascal ni hicho vingi vimempita sana tangu siku hiyo aliomhoji JPM Leo hii angekuwa zaidi ya hapa alipoHivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu?
Pasco anaweza, kwa kuwa walau alikuwa na ubavu wa kumuhoji maswali JPM maswali mazito katika wakati ambao hakuna ambaye angejaribu.
Kikeke? Yuko anazindua infrastructure bond.
Jacton Manyerere? Alipewa fursa na JPM aulize swali akaishia kuomba mwaliko wa kunywa wiski ikulu.
Ayoub Rioba? Bado ana chakula mdomoni, hawezi kuongea kwa sasa!
Kati ya kitu anachojutia mzee wetu pascal ni hicho vingi vimempita sana tangu siku hiyo aliomhoji JPM Leo hii angekuwa zaidi ya hapa alipo
All in all ni kazi yake pia napenda kufatilia vipindi vyake vya mahojiano 8 8 , 7 7 n.k
Hata wakipatikana wa kuwauliza maswali 🙄
So what ???!
It’s Business as usual !
Kosa la kimkakati sana alilifanya, baada ya pale angeendelea kumpiga spana JPMNi kweli kabisa.
Mechi ile Pascal alipoteza kwani baadaye alibadili Msimamo wake
December Ina Mengi Sasa Wamuulize Maswali Hayo Waharibu CV Za BahashaKuna nini disemba? Krismas?