Leo ndio nimejua kuwa Somalia nao ni Waarabu and Djibout sio wakati ni same people hahahaHii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Anakubali hadi kubadilisha jina lake na kuchukua la kigeni kisa eti dini. Waafrika bure kabisa.Hakuna anayemfikia au kulingana upumbavu na Mtu Mweusi. Mtu mweusi kwenye upumbavu apewe maua yake.
hakuna jipya unaloongea shehe hao ndugu zako wakiarabu walikwishaungana 1967 lakini Israel akawapiga siku 6 tu na walishaungana 1948 wakapigwa pia Kwa hiyo waarabu wameona huo muungano ni Kazi bureHii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Na ethiopia, eritreaLeo ndio nimejua kuwa Somalia nao ni Waarabu and Djibout sio wakati ni same people hahaha
Eti akimalizana na Palestine next ni Saudi Arabia 🇸🇦!!?? Unajua kuwa ukiendelea na Uongo uchi kama huo hatimaye utakuwa BBC?Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Wawasaidia Ili iweje yaani wewe una ndugu Yako mlevi yeye Kila siku anaanzisha ugomvi maksudi kipondo kikizidi anataka msaada utamsalidia mpaka lini?Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
🤣🤣🤣🤣Waarabu unawaonea bure mkuu, Israel tunaitaja kama nchi lakini ile sio nchi bali ni kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya NATO
Nashangaa sana kwanini watu hawaelewi hili.... Hata sasa tunaona baadhi ya wanachama wa NATO wakijifanya kuwafokea wanaoitwa wayahudi eti wasimamishe vita pale gaza kumbe wanatumia mbinu hiyo kuchelewesha hadi watimize malengo yao.
Mwaka 1948 walibuni nchi bandia pale ili waweze kuweka kambi yao kubwa kwaajili ya kumonita mataifa yote ya mashariki ya kati pamoja na ulinzi wa meli zao za biashara za kuja afrika na Asia
Kwanini mkuu wakati haichekeshi🤣🤣🤣🤣
Mkuu, nimcheka mbavu zinauma aisee😂😂😂🤣
Mkuu hili mbona lipo wazi kabisa, kwamba most Arab leaders are puppets to US. Mfano crown Prince mohamed bin salman, aliwahi kujibu kwenye interview kuhusu wapalestina kwamba hana mda nao. Na asiulizwe kuhusu mambo ya palestina, Maana yeye yupo kwa ajili ya nchi yake Saudi Arabia nasio Palestina.
Nchi nyingine za kiarabu za kifalme hapo mashariki ya kati kama United Arab Emirates na Qatar wote Hawana tofatauti ni vibaraka kwa marekani maana kwao ufalme wao ndio kila kitu.
Tena akaenda mbali na kusema kwamba, wapalestina wakubaliane na matakwa ya Israel(inayokaliwa na fake jewish). Tofauti na hapo wakae kimya, anaejitahidi kuwasaidia wapalestina sio muarabu mwenzao bali ni muajemi irani. Mfalme ambaye alikua anawasaidia na kuwatetea waarabu wenzake, hasa wapalestina. Na hata jamii ya weusi kwenye kupinga ubaguzi, na kuleta haki Duniani, alikua ni marehemu king faisal wa saudia so sad they killed him.
Eti akimalizana na Palestine next ni Saudi Arabia 🇸🇦!!?? Unajua kuwa ukiendelea na Uongo uchi kama huo hatimaye utakuwa BBC?
View attachment 3341314
Kama Israel ingekuwa inataka kujitwalia tu maeneo ingefanya hivyo kwa Sinai, Gaza (ambayo iliwapatia wapalestina mwaka 2005), ingajitwalia Al Aqsa and Dome of the Rock maeneo ambayo licha ya kuwa na ushahidi wote kuwa ni ya Wayahudi, bado Israel imewaachia waislamu wayamiliki na hivyo wayahudi hifika hapo kwa kibali maalumu.
Sasa ya nini Israel aende mbali kote huko Saudi Arabia kujitwalia nchi!!??
Elimu yako ndogo, haujui kuwa Israel tofauti na nchi za kiarabu, wao pekee ndiyo wameruhusu jamii za dini zote kuwa raia wao? Hii ikijumuisha na waislamu wapatao 2,170,000!! Huyo kwa waislamu wenzio hamuruhusu hata myahudi mmoja. Wakiristo ndiyo hao minyanyaso kila siku
Hata hao NATO (wazungu) nao pia kizungumkuti TU kama waarabu,,,chukua ukubwa WA USA,changanya na washirika WA ulaya,wamemshindwa Urusi,ujerumani na ufaransa hawamtaki USA kwenye NATO mchana kweupe.ujerumani suala la kuchangia siraha Ukraine mpaka agongewe mlango ndo anatoa,,hizo siraha nazo zikifika uwanjani vifaru havipigi starter.
Hao waarabu mpaka Leo wamemkumbatia Israel kwenye umoja WA nchi za kiislam OIC.Israel ilijiunga kwenye umoja huo kutokana na Kuwa na idadi kubwa ya waislam kuliko wakristo.
Angalau waafrika wenzangu wanajitambua kiasi...wameifukuza Israel uanachama katika jumuiya ya Afrika AU.
Hamas wanamtegemea Allah na kila wanachofanya tangu October 7 wanamtaja Allah. Walikuwa wanapiga selfie na kuburuza maiti mtaani barabarani huku wanaimba "Allahu Akbar"Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
ChildishNyie mnajipa moyo. Fake or Og Jews wanawahusu nini? Wenyewe ndo wamekubaliana nao. Na hao hao wamewapenda. Mnalia lia fake jews hapa tuna fake tanzanians wengi tu. Kapambaneni na hao fake jews muwaondoe
Nincompoop.Childish
Thibitisha kwamba Israel sio nchi.Waarabu unawaonea bure mkuu, Israel tunaitaja kama nchi lakini ile sio nchi bali ni kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya NATO
Nashangaa sana kwanini watu hawaelewi hili.... Hata sasa tunaona baadhi ya wanachama wa NATO wakijifanya kuwafokea wanaoitwa wayahudi eti wasimamishe vita pale gaza kumbe wanatumia mbinu hiyo kuchelewesha hadi watimize malengo yao.
Mwaka 1948 walibuni nchi bandia pale ili waweze kuweka kambi yao kubwa kwaajili ya kumonita mataifa yote ya mashariki ya kati pamoja na ulinzi wa meli zao za biashara za kuja afrika na Asia
kinachosisaidia Israel ni protection anayopewa na Marekani. Marekani kasogeza vifaa vingi vya kivita - Ndege, Meli za kivita n.k pande hiyo.Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF
Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.
Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.
Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.
Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........
Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.
Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Hao waarabu watachakazwa wote ni suala la muda tu.Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246

Inatia aibu kufikiria vita vya 1967 na mwaka huu ambapo teknolojia zimebadilika sana.Tunaona Houth wenyewe tu wanaitetemesha Israel kwa silaha za magendo.Fikiria kama hao waarabu watafungua maghala ya droni na ballistic zao kwa siku moja Israel itakuwa chali.hakuna jipya unaloongea shehe hao ndugu zako wakiarabu walikwishaungana 1967 lakini Israel akawapiga siku 6 tu na walishaungana 1948 wakapigwa pia Kwa hiyo waarabu wameona huo muungano ni Kazi bure