Waarabu kumshindwa Israel katika hii ramani ni jambo la kushangaza

Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.

Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF

Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.

Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.

Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.

Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........

Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.

Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Mpuuzi adriz na dini yake ya shetani kachukia sana tanzania kukosa ukijani kwenye hiyo ramani ....KWA MUJIBU WA MUHAMMAD SHETANI IBILISI NAYE NI MUISLAMU SAFI NA DINI YAKE NI UISLAMU NA AMESILIMISHWA NA MTUME MUHAMMAD KWA KUTAMKA SHAHADA ...kuwa mungu ni mmoja na muhammad ni mtume wake ...hivyo muhammad ni mtume wa waislamu akiwemo shetani ibilisi yule aliye laaniwa laana ya milele.
 
Kwenye hiyo raman weka hapo usa
 
Waarabu kinachowaua ni kukosa umoja na unafiki tu.
Kitu nachowakubali wazungu ni umoja na ushirikiano hata mwenzao akikosea.
Ila waarabu ni wabinafsi na wanafiki na wamekosa umoja.
Muda mwingine wao kwa wao wanapinduana na kugeukana.
Usitegemee kitu kiitwacho ushirikiano na umoja toka kwa waarabu.
Ingekua waarabu wana umoja na mshikamano kama ilivyo hata waajemi,aisee Westerners na Israel wangeshataabika.
Siku waarabu wakijifunza kuacha unafiki,ubinafsi na kitu kiitwacho umoja basi watasimama kidete.
 
Wewe unaumiza kichwa leo wenzako waliumiza kichwa mwaka 1967 wakaungana kilichowakuta hawatarudia tena unadhani wao wajinga wapigane na Israel wapigwe kipigo cha mbwa mwizi,maana Israel hayupo peke yake analindwa na Mungu alie hai sasa nani atashindana na Mungu muumba wa mbingu na dunia halafu ashinde.
 
Nachekaga sana nikiwa nasoma nyuzi za mashabiki wa Israeli na Palestina. Majority ya mashabiki wa Palestians ni Waislamu na Israeli ni sisi Wakristo, sasa tusicho kijua kuhusu hawa watu, both Arabs and Israelis a.k.a Wayahudi ni hiki; these guys first of all ni ndugu (nawaondoa Wapalestina hapa kwenye umoja hu ) lakini kingine, hawa watu wamechanganya sana damu, wamezaliana mno and hence is difficult to differentiate between them, anzia Saudia, Iran, Iraqi, and the whole middle east. Saudia kwa mfano, kabla ya mtume Mohammed hajaanza operations zake or even kabla hajazaliwa, mji wa Madina ulikua unakaliwa na Wayahudi waliokimbia kwao baada ya Dola ya Rumi kuupiga piga Jerusalem na Wayahudi wengi kukimbia kwenda nje ya nchi, na hili hua halisemwi sana na watu, kimsingi hili ndio hasa chanzo cha ugomvi hu ambao watu huaga wanautaja mwaka 1948 kwamba WALIRUDI. Swali ambalo wavivu wengi hua hatutaki kulijadiri ni hili, "WALIRUDI from Europe but when did they go there and why"?

Back to the topic, hivi huyu rais wa sasa wa Syria mna uhakika hana damu ya Kiyahudi? Huyu si alikua among of the most wanted men na USA hasa baada ya September 11, 2001? Nini kimetokea hadi akawa "mtu wetu"? Na amekua pro West while before was "our enemy"?
Sijasoma popote but I just want to connect some dots here about this guy; huyu mwamba alikua moja ya senior officials wa Alqaeda enzi za Osama Bin Laden, why ile September 11, 2001 hasa jengo la WTC hakufa hata Myahudi mmoja while jengo lile lilikua na Jews more than 2500 waliokua wakifanya kazi mule? Wasn't he one of the double agent who leaked the information to Mossaid? Just trying to think loudly on myself hasa baada ya Mossaid, CIA na Israel kuamua kumwondoa Assad the former Syrian president. Well, let's assume my assumption is correct, kwa mazingira hayo who knows exactly viongozi wengine wa middle east nao hawana damu za Kiyahudi? The former Mkuu wa majeshi wa Iran tayari Iran iliisha mstukia and we don't know where is HE by now.

Nakumbuka mkutano 1 wa OPEC mwishoni mwa miaka ya 90, Saddam Hussein aliwahi kutoa pendekezo la kuishikisha adabu Israeli, kwamba wawanyime mafuta as from that day, into his surprise, aliijiwa juu na his fellow Arabs leaders hadi akashangaa, rais wa Iran by that time was Ahmednajadi mwanzilishi wa hu mradi wa Neuclea unaopigiwa kelele na jumuia ya kimataifa, bado hatushangai? Pale middle east, issue sio DINI, issue ni ardhi na historia yao. Poleni Waislam wa huku Africa
 
Mpuuzi adriz na dini yake ya shetani kachukia sana tanzania kukosa ukijani kwenye hiyo ramani ....KWA MUJIBU WA MUHAMMAD SHETANI IBILISI NAYE NI MUISLAMU SAFI NA DINI YAKE NI UISLAMU NA AMESILIMISHWA NA MTUME MUHAMMAD KWA KUTAMKA SHAHADA ...kuwa mungu ni mmoja na muhammad ni mtume wake ...hivyo muhammad ni mtume wa waislamu akiwemo shetani ibilisi yule aliye laaniwa laana ya milele.
Tumia muda wako vizuri kujielemisha naona umemezeshwa mambo pofutu na chai kuhusu Uislamu, nipo tayari kujitolea kukufundisha mahali popote ulipo.
 
Jidanganye tu. Waafrika kumfukuza Israel uanachama wa AU imempungumzia nini ISRAEL? Umesahau Burkinafaso imejitoa uanachama usio na tija? Israel wala hana haja ya kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Afrika kwa sasa. Waafrika hawa hawa ni vidampa tu. Kamwone Ramaphosa anavyodhalilishwa na Trump.
Huo uanacha kwa israel ni wa mhim sana israel ni taifa feki limefika hapo kwa lobying ya hali ya juu maana wanajua pale midle east wamejipachika kihuni .ndo maana kuna rushwa kubwa kubwa pale unapolitambua hilo taifa na kulisujudia .. mfano misri bahrain UAE jordan ..kote huko wanapokea mabilon kwa ajili ya kuweka uhusiano na israel umeshaaona taifa la namna hiyo dunia kuhonga ili upata utambulike
 
Lako Original liko wapi? Mkishiba mihogo na maharage yaliyochacha mnacheza bao mnadanganya huu upuuzi na akina sheikh kitinku. They are there to stay. Whether you like or not.
 
Israel bila USA hata M23 wanashinda Mapema
M23 wanatumia silaha za kutengeneza wao wenyewe?

Israel ana manufacture mwenyewe silaha na viwanda vyake pia vipo Marekani Elbit system na Israel aero.. vilipuzi ndio most Israel anahitaji maana kutengeneza kwake kuna take time na ukiwa kwemye War ni spending tu mpaka stock inakata hapo you need kununua upya hii ni kila nchi even russia fuatilia.

Kufananisha m23 utaonekana jf inafuga makaka poa
 
Inatia aibu kufikiria vita vya 1967 na mwaka huu ambapo teknolojia zimebadilika sana.Tunaona Houth wenyewe tu wanaitetemesha Israel kwa silaha za magendo.Fikiria kama hao waarabu watafungua maghala ya droni na ballistic zao kwa siku moja Israel itakuwa chali.
waarabu wanateknolojia gani Sasa? zaidi ya kurusha rusha makombora Israel yanaishia kupanguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel halafu kwenye hiyo technolojia mbona Israel yupo vizuri na ana nuklia pia hizo nchi za kiarabu zitafumuliwa na nuklia Israel akishambuliwa hivyo na waarabu wote atatumia Samson option
 
Inatia aibu kufikiria vita vya 1967 na mwaka huu ambapo teknolojia zimebadilika sana.Tunaona Houth wenyewe tu wanaitetemesha Israel kwa silaha za magendo.Fikiria kama hao waarabu watafungua maghala ya droni na ballistic zao kwa siku moja Israel itakuwa chali.
Kwa nini wasifanye wanasubiri nini sasa.
 
Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.

Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF

Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.

Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.

Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.

Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........

Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.

Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Sasa china na russia ni waarabu?
 
Kulikoni saa Hao waarabu. Wote wana mungu mmoja muweza wa yote hajazaa Hana mshirika iweje washindwe Na kataifa kadogo Tu. Hata mkisema marekani anamsaidia Mbona nyie mnadai Allah anawalinda iweje Marekani awe juu ya Allah? Mmejiuliza Hilo SWALI?

Jagina Malaria 2 adiosamigo amigo

Nyau de adriz
 
Umeandika sana lakn jibu ni simple israel kama israel hawez kupigana na waarabu,mwarabu anapigwa na USA na washirika wenzie
 
Hata hao NATO (wazungu) nao pia kizungumkuti TU kama waarabu,,,chukua ukubwa WA USA,changanya na washirika WA ulaya,wamemshindwa Urusi,ujerumani na ufaransa hawamtaki USA kwenye NATO mchana kweupe.ujerumani suala la kuchangia siraha Ukraine mpaka agongewe mlango ndo anatoa,,hizo siraha nazo zikifika uwanjani vifaru havipigi starter.
Hao waarabu mpaka Leo wamemkumbatia Israel kwenye umoja WA nchi za kiislam OIC.Israel ilijiunga kwenye umoja huo kutokana na Kuwa na idadi kubwa ya waislam kuliko wakristo.
Angalau waafrika wenzangu wanajitambua kiasi...wameifukuza Israel uanachama katika jumuiya ya Afrika AU.
Israeli imewahi kua mwana chama wa AU? Ndio nasikia leo hi. Israeli ipo Africa hata iwe mwana chama wa AU? Iliomba uanachama or ilitokea by default?
 
Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.View attachment 3341246
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.

Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa uhakika hapo Gaza waache kufa kwa njaa na utapiamlo ukiondoa makombora ya IDF

Si kwamba Israel ina jeshi la kutisha sana duniani hapana ila umoja wa waarabu kuna nyoka wengi sana wanaofanya double agent ni ngumu sana kufanikiwa.

Hawa waarabu wakiungana wote Israel hawezi kuendelea kufanya kile anachofanya hapo Gaza.

Marekani alikimbizwa na wavietnam kwa sababu walikuwa na umoja waarabu ni kama waafrika weusi hakuna umoja Israel anafanya anacho jisikia kwa support ya marekani na hao hao waarabu wana mkaribisha Marekani na kununua silaha zile zile za Marekani hawa watu akili zao za ajabu wana jirani yao Iran pale anaweza kutengeneza silaha bora na wao wakanunua ili kukomboa ndugu zao ila ajabu ni wao kuungana na adui kumpiga ndugu yao.

Sitaki kukubali hawa wakiungana wote kwa silaha za Iran ama Russia ama China Israel itawashinda ila kinachonipa hofu ni nyoka waliojaa katika umoja wa waarabu kuanzia Misri kwenda Saudi kwenda UAE kwenda Syria, kwenda Jordan.........

Israel akimalizana na Palestine na Syria kama ikiwezekana next stop kwenye Great Israel basi ni Saudia kama asipo dhibitiwa.

Wazungu wa Ulaya, Ukraine kavamiwa na Urusi waneungana kumuunga mkono ila jumuiya ya kiarabu inasikitisha sana.
Soma history vizuri hao wapelestina sio wa kuwasaidia ni wanafki sana ukiwasaidi hawakawii kukugeuka , misri anawajua vizuri ndio maana kajenga ukuta na ulinzi mkali hakuna mbuzi ya kipalestina kuvuka, wengine ni Kuwait nadhani
 
Huyo Marekani kakimbizwa na wavietnam walima mpunga hakuna sababu ya msingi ya waarabu kushindwa kumdhibiti Israel
Tatizo Waarabu wameshakuwa mateka wa Marekani toka kitambo
 
Muarabu hana uvumbuzi wowote zaidi ya kuvaa mikanzu na tende kwenye dini yake....ni mtu bure kabisa
 
Back
Top Bottom