Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Mtoto una sauti nzuri sana ukilalamika ndio maana huwa sichoki kukuchoma sindano zangu ili niwe naiskia tu
Wewe ni kituko cha hapa JF sema hujajishtukia tu,tafuta kazi nyingine,upigaji utakua hakuna tena huko unapopalilia kila siku humu,ulizowea kitonga.
 
Wewe ni kituko cha hapa JF sema hujajishtukia tu,tafuta kazi nyingine,upigaji utakua hakuna tena huko unapopalilia kila siku humu,ulizowea kitonga.
Una machozi mengi sana wewe, nitakuletea lolly pop umumunye sawa mtoto mzuri?
 
Hiyo DPW ishaleta sintofahamu kama mkataba wenyewe haujaja mbona serikali inapata kigugumizi cha kujitoa.Halafu watu wanaposema ile ni IGA Mimi nacheka kimya kimya uliona wapi IGA ikawa na specific project? IGA ikawa na Dispute settlement clause? IGA ikawa na first priority Clause? Hii IGA ni very special
 
Wapo wapi?

What's the context?

Kwahiyo hao ndo DPW?

Hakuna watz wenye asili ya arabuni?

Nyie mnaweka bendera za Israel na USA hadi chumbani kwenu nani anawauliza?

Duhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si Bongo zozo huyo.. kawapa bendera na yeye ndo anayerekodi. Wanaimba nini , hatujui!
 
 
Unachohitaji wewe ni kuelimishwa tuu IGA ni nini na ni ya kazi gani Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
P
 
Kwanini Yanga wakishinda hushangilia?!!!!
 
But why ???????????????????????????????????
 
Huwa naandika mara nyingi sana kuwa adui mkubwa wa Watanzania ni ujinga, wewe umeendelea kudhihirisha hilo, wajinga wenzako wengi watafata ujinga wako.

Sasa ulitaka wasishangilie kuuziwa bandari zote, wakati wewe umelala na ujinga wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…